Asante sana kwa taarifa. Tuko live tunakufuatiliaWatu ni wengi kwelikweli mabasi yanashusha watu kwa wingi sana.
Asante first lady.Uwanja umefurika watu ni wengi hapa viwanjani,tunasubiri ujio wa Maaskofu na mkuu wa Kaya.
Nitaendelea kuwajuza japo nimebanwa sana na kazi.
Be blessed our next first lady. Tunakufuatilia kwa makini!Uwanja umefurika watu ni wengi hapa viwanjani,tunasubiri ujio wa Maaskofu na mkuu wa Kaya.
Nitaendelea kuwajuza japo nimebanwa sana na kazi.
Imekuwa ni kazi ya usiku kucha, baada ya ratiba nzima ya mazishi kubadilika, awali tulikuwa tutoe salamu zetu za mwisho nyumbani then twende kanisani baadae mazishi.
Watu wa morogoro wamefika, japo siwezi kuuliza habari za usafiri waliotumia kulingana na majukumu,Asante first lady.
Tunakufuatilia kwa karibu.
Vipi wanachadema wa Morogoro mjini walikubali msaada wa basi kutoka kwa Aziz Abood?
Misa itaongozwa na Askofu gani (Libena.....maana ndo ameteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa jimbo jipya Katoliki la Ifakara, au Mkude ambaye ndo Askofu wa jimbo la Morogoro....au Askofu wa Mahenge?)
Ubarikiwe kwa kutu update. Ninawatakia kila la kheri katika safari ya kumhifadhi Regia.Tumemaliza na ratiba itaanza mda si mrefu.