Ngandema Bwila
JF-Expert Member
- Sep 8, 2010
- 1,017
- 256
Malipo ni hapahapa duniani, ukipnda chuki unavuna chuki!
ha ha ha ha. Nimefurahi. Kumbe watz wanaweza wakijiwezesha. Kwa mwendo huo tuyatokomeze majambazi yote ya ccm. Fuata kapuya mbakaji na kinana chapchap. Mikoa ambayo hamthubutu tutawapeleka semina mwanza.