Unafikiri sheria hipo hivyo mkuu.. .. Yeye marehem alikua kada mtiifu wa CCM piaNashauri ndugu wa marehemu wasimruhusu kiongozi wowote wa chama au serikali ya CCM kuja kwenye mazishi ya ndugu yao! Hawa sio watu kabisa kabisa!
Kwani kuna faida gani kuhudhuria mazishi ya kaka wa Lissu?Nashauri ndugu wa marehemu wasimruhusu kiongozi wowote wa chama au serikali ya CCM kuja kwenye mazishi ya ndugu yao! Hawa sio watu kabisa kabisa!
huu ni ushauri tenge!. Pamoja na tofauti zetu kisiasa, Watanzania ni wamoja kwenye shida na raha, na kwenye shughuli za kijamii!, mfano mimi ni CCM, kuna CCM wengi tuu wanatamani Lissu atendewe haki.Nashauri ndugu wa marehemu wasimruhusu kiongozi wowote wa chama au serikali ya CCM kuja kwenye mazishi ya ndugu yao! Hawa sio watu kabisa kabisa!
huu ni ushauri tenge!. Pamoja na tofauti zetu kisiasa, Watanzania ni wamoja kwenye shida na raha, na kwenye shughuli za kijamii!, mfano mimi ni CCM, kuna CCM wengi tuu wanatamani Lissu atendewe haki.
P
In addition, Marehemu Alute alikuwa mwanachama wa CCMhuu ni ushauri tenge!. Pamoja na tofauti zetu kisiasa, Watanzania ni wamoja kwenye shida na raha, na kwenye shughuli za kijamii!, mfano mimi ni CCM, kuna CCM wengi tuu wanatamani Lissu atendewe haki.
P
ccm inakuua, halafu ijitie kukuzika na ndugu zako kweli wakubali! we vipi ndugu yetuYeye ni mwanaccm sasa utaanzaje kuwafukuza wanachama wenzake!
Wasipokuja watapungukiwa nini?
Njoo msibani kama ww CCM! Ongozana na jaji ndunguru anayeandaa charge sheet ya juu kwa juu utadhani ye DPPhuu ni ushauri tenge!. Pamoja na tofauti zetu kisiasa, Watanzania ni wamoja kwenye shida na raha, na kwenye shughuli za kijamii!, mfano mimi ni CCM, kuna CCM wengi tuu wanatamani Lissu atendewe haki.
P
Phala kweli wewe, siasa wkt mmemfunga mtu kwa kesi tofauti na aliyoshtakiwa nayo! Unadhani jela Sheraton hotel? mpeleke mumeo akakae week tu.we jinga kweli kisa lisu yuko chadema ndio familia nzima imfate ?alafu msiba hua wa wote siasa usilete kwenye maisha halisi
swali la kijingaWasipokuja watapungukiwa nini?
ukoo wa kimayuta una miungu mikali sana, ngoja watu wajipendekeze kwenye huo msiba wataipata freshiHao jamaa wana matambiko makali sana hapo kuna kuzika+
Alisema yeye ni CCM ya Nyerere yeye mwenyewe alishasema mbele ya camera akasema CCM hii haielewi kwa hio hao wasiende tu alishawakataaYeye ni mwanaccm sasa utaanzaje kuwafukuza wanachama wenzake!