Mumlii
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 266
- 362
Habari, ukiona unafanyia biashara pazuri mazingira safi, hasa sisi wafanyabiashara wadogowadogo wa sokoni mshukuru mungu, ss huku sehemu tunaofanyia biashara s rafiki kabisa, soko la masakuroni- ushirombo.
Uchafu, n kawaida sjui hao bwana afya huwa wanakaguaga tu migahawa hv sisi tunaouza mboga hasa samaki dagaa kweli wanakagua hayo maeneo, hasa minadani kama mnada wa bukombe, hv pesa za ushuru zna kaz gani?? Nyie wahusika wa hii wilaya mpo??? Kabisa