Kristonsia Nkya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 309
- 304
Chukua simu ya mke wako alafu mtumie meseji rafiki yake andika "Daah shost nina mimba"...
Likija swali "Ya nani hyo shoga".....
Chukua karatasi na kalamu anza kuandika talaka
Likija swali "Ya nani hyo shoga".....
Chukua karatasi na kalamu anza kuandika talaka