mazee nimfanye nini huyu......!!!!!!

mazee nimfanye nini huyu......!!!!!!

middle 8

Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
5
Reaction score
1
kuna msichana alikua mtu wangu kwa miaka kadhaa iliyopita na nilikuja tengana nae baada ya yy kunibwaga kwa madai kwamba alikua anapoteza muda kwa kuwa na mm.Kwa kweli niliumia sana coz nilikua nikimpenda kwa dhati but niliamua kuachana nae na kuendelea kukomaa na kitabu,cha kushangaza msichana yuleyule aliyenikataa kwa kinywa chake kanifungia safari na kunifuata chuoni halafu ananiomba msamaha 2rudiane.HEBU 2SAIDIANE MAWAZO WANA JF
 
Kama inawezekana kumsamehe msamehe tu,ila mpime afya zenu kwanza
 
Mwambie akwambie sababu zilizomfanya akuache alafu zipime na uchukue hatua, inawezekana kweli ulikuwa hueleweki na sasa unaeleweka au vyovyote.

Msikilize na upime maneno yake, kusameheana kwenye maisha ni jambo jema....
 
We weka akili yako kwenye masomo,hao watoto wa kike wapo sana tu utawakuta huku kitaa wamejaa tele,wala hata usihangaishe akili yako kukaa unamuwaza.
 
Muulize dushelele lako linatofauti gani na madushelele mengine hadi akaona alifanya makosa kukuacha? Akikupa jibu lipime kwanza ndo utoe maamuzi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
We weka akili yako kwenye masomo,hao watoto wa kike wapo sana tu utawakuta huku kitaa wamejaa tele,wala hata usihangaishe akili yako kukaa unamuwaza.

majibu kama haya huwa yana mantiki sana,wanawake si wa kuhangaika nao
 
Kama wampenda utamjali...tafakari chukua hatua.
 
kuna msichana alikua mtu wangu kwa miaka kadhaa iliyopita na nilikuja tengana nae baada ya yy kunibwaga kwa madai kwamba alikua anapoteza muda kwa kuwa na mm.Kwa kweli niliumia sana coz nilikua nikimpenda kwa dhati but niliamua kuachana nae na kuendelea kukomaa na kitabu,cha kushangaza msichana yuleyule aliyenikataa kwa kinywa chake kanifungia safari na kunifuata chuoni halafu ananiomba msamaha 2rudiane.HEBU 2SAIDIANE MAWAZO WANA JF

Tiandae kubambikiziwa mimba kaka.
 
Take her back ,
 
Kishajua kosa lake na kishajutia kwa alichofanya tht's why karudi kuomba msamaha.....
cheki afya zenu, msamehe muwe wote...
Kama anamaanisha ataishi na wewe kwa discipline!!!!!!
NB: kama una demu wako tayari imekula kwake, usimuache..........
 
Kama alikuona hunamwelekeo na akashindwa kukusapoti uwe namwelekeo akakubwaga!Hatoshindwa kukubwaga huko mbele ukiyumba!Anaweza kuwa rafiki tu nasimwenza mtarajiwa!
 
kuna msichana alikua mtu wangu kwa miaka kadhaa iliyopita na nilikuja tengana nae baada ya yy kunibwaga kwa madai kwamba alikua anapoteza muda kwa kuwa na mm.Kwa kweli niliumia sana coz nilikua nikimpenda kwa dhati but niliamua kuachana nae na kuendelea kukomaa na kitabu,cha kushangaza msichana yuleyule aliyenikataa kwa kinywa chake kanifungia safari na kunifuata chuoni halafu ananiomba msamaha 2rudiane.HEBU 2SAIDIANE MAWAZO WANA JF

wabawake bwana full kukubwaga akiona mambo maishani yananza kukaa sawa wanajileta...sasa hao dawa yao moja tuu. kuwagegeda na kuwatumia kaama dampo lako la shahawaaa....ukimchoka unamuudhi kwa kumuomba tigo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom