Mazda CX 5 inanifilisi!

Sasa tunaenda kiangazi ni muda wa kuweka taa mpya za corolla yangu ,hakika matope yameichafua gari la ukoo .

Vipi kaka taa za corolla naweza kupata na betri zuri kabisa la gari ,kunipitishia hapa mbalizi
 
Hahahaha gari sio lelemama likiamua kukuchapa invoice.
 
Mazda toka lini ikawa na parts bei juu mkuu ni vile wauzaji wanaamua kuweka mazingira magumu tu hiyo ni sawa na VW polo au GTI parts zake sio bei kubwa shida wauzaji wa Tanzania wanaua sana...
 
Tofautisha UBOVU na KUFILISI. Sijazungumzia UBOVU Bali ughali wa vifaa vya CX 5 (Taa kubwa ya mbele 1.5m tofauti na gari nyingi za ukubwa zinazofanana)
Ndugu bado hujaona uzembe wako katika hilo?
Kabla ya kuinunua hiyo Mazda CX5 hukujua gharama za vipuri vyake?
Uzembe wa maamuzi yako unaulazimisha kuwa ndio kasoro za hiyo gari kukuumiza kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…