February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,115
- 2,822
asante Wacha namimi nijaribu bahati ...kwa mtazamo waatakuwa wanalipa shingapi?Sema hujayapenda tu, kawahi ubalozi wa mazayuni upo Dar hapo.
Kawahi usiogope, Hamas masharti yao yote yamekubaliwa, sasa hivi hata UsA anaimba nchi mbili zinajitawala zenyewed.
Kawahi fursa, likibumburuka tena wakakufyeka, wajomba zako ushawatumia za kutosha kutamba kwa muda.
Kwa akili zako hizi hata ungekuwepo enzi za mudy na miaka yako 9 asingekuoa.Mapya haya sasa, Mazayunni wameanza kuchukuwa askari wa kukodiwa Malawi, wanajuwa dhiki zetu Afrika na pesa wanayotowa zitatufanya twebde tu, Dah, hali inatisha:
Video clip inapanda taratibu.
View attachment 2826830
View attachment 2826807
We bibi ni msnegel
unatoa hili unaweka hili....kumbe..kwaheriMapya haya sasa, Mazayunni wameanza kuchukuwa askari wa kukodiwa Malawi, wanajuwa dhiki zetu Afrika na pesa wanayotowa zitatufanya twebde tu, Dah, hali inatisha:
Video clip inapanda taratibu.
View attachment 2826830
View attachment 2826807
Mapya haya sasa, Mazayunni wameanza kuchukuwa askari wa kukodiwa Malawi, wanajuwa dhiki zetu Afrika na pesa wanayotowa zitatufanya twebde tu, Dah, hali inatisha:
Video clip inapanda taratibu.
View attachment 2826830
View attachment 2826807
Bibi acha uchochezi,kwahiyo saizi hamasi wameshinda na kuwafurusha majeshi ya taifa teule watoke kutoka Gaza?
Ila nyie jamaa kujifariji hamjambo,kwahiyo sasa hivi Hamas wapo Tel Aviv au sio.Mpaka sasa palestine imeshinda vita
View attachment 2826929Hii taarifa ni 3days ago
Mbona kama wanaenda kufanya ishu nyingine na si kuwa wajeda...
Wamalawi wana shida ya employment...
Mbona sijaskia akisema kuhusu kwenda kupigana na magaidi hamasi?
Amna yeye anaelewa kabisa...ila ametarget hii post kwa wale waswahili wasiojua kiiingereza, ambao ndo majority ya washinda vijiwen kwenye draft na alkasusu, wenye elim ya madrasat tu.
Dakika ya ngapi kwenye video imesema hivyo nikaskilize tena.Omba utafsiriwe hiyo voice
Bi mkubwa mbona ubalozi anasema wanaenda kuongeza nguvu ktk sector ya Elimu? Je hiyo ya kusema wanaenda vita kaona wapi huyu mtoa onyooo... Au ndio propaganda a?Mapya haya sasa, Mazayunni wameanza kuchukuwa askari wa kukodiwa Malawi, wanajuwa dhiki zetu Afrika na pesa wanayotowa zitatufanya twebde tu, Dah, hali inatisha:
Video clip inapanda taratibu.
View attachment 2826830
View attachment 2826807
Tehtehteh,uwe unajifunza kwanza mambo,Sasa Madina alifurushwa kwa nini!?Mtume mohamed alipofurushwa kutoka Macca alikimbia na kupokelewa, na kuhidhiwa na ma jew Madina. huko ndo Mohamed alipokutana na habari za kina Ibrahim akazicopy
Sector ya elimu!?..yaani nani anamuongezea nguvu nani!?Bi mkubwa mbona ubalozi anasema wanaenda kuongeza nguvu ktk sector ya Elimu? Je hiyo ya kusema wanaenda vita kaona wapi huyu mtoa onyooo... Au ndio propaganda a?
Hapana, Israel wanachukua nguvu kazi kwa miaka 5, lakini wakiwa huko wafunzwa ujuzi ili wakirudi Makawao wafanye kilimo cha kitaalmu kama Israel... Ila wakati wakiwa huko wanalipa huku wakijifunza... Ni kama exchange program fulaniSector ya elimu!?..yaani nani anamuongezea nguvu nani!?
Unakijua kiingereza? Omba mtu akutafsirie
Mapya haya sasa, Mazayunni wameanza kuchukuwa askari wa kukodiwa Malawi, wanajuwa dhiki zetu Afrika na pesa wanayotowa zitatufanya twebde tu, Dah, hali inatisha:
Video clip inapanda taratibu.