Mayai yangu yanaliwa jamani

Mayai yangu yanaliwa jamani

Nina kuku wa kienyeji wachache lakini kila wakitaga mayai yanaliwa na sijui nani anayala.

Nimeziba matundu makubwa makubwa yote bandani lakini bado,inaweza kua nyoka?? Au mnyama gani mdunchu mwenye anaweza kupenya kwenye matundu madogo?

Nifanye nini kumdhibiti mnyama/mdudu huyo jamani napata hasara.
Halafu mkuu sio mayai yako bhana... mayai ya kuku ndio yanaliwa sio mayai yako
 
mkuu au kuku wako ndiyo wanayala wenyewe.. choma kuku wako midomo wote uchagani ndiyo huwa tunafanya hivyo.. najua ni ukatili ila pesa muhimu
Huu ni ukatili kwa Mifugo, ukijiridhisha kama Kuku wako ndio hula hayo mayai basi pita kwa Wauza chips wakupe maganda ya mayai, kisha yapondeponde uwape.
 
Huu ni ukatili kwa Mifugo, ukijiridhisha kama Kuku wako ndio hula hayo mayai basi pita kwa Wauza chips wakupe maganda ya mayai, kisha yapondeponde uwape.
hii njia nilikuwa sijui.. najuaga ni kuwachomea mifupa na kuitwanga na kumchanganyia kwenye chakula
 
Tegesha camera ata ya sim umo bandan kwa kutwa moja utampata to mlafi wako nan alaf utajua nn ufanye me nilifanya ivyo nikamkamata dogo wang alaikua anasubili mchana pakitulia anazama bandan anachukua mayai tena yy alikua anaingia na kibakuli kabisa anapasua maganda anaacha anaondoka na kiini
 
Choma midomo hao kuku wako au kama unahisi.kuna kicheche anakula.mayai chemsha yai moja tu.akila litamkaba na kufia.mbali lkn hakikisha kusiwe na maji.pembeni
 
Tafuta sehemu ujibanze mkuu wikiendi moja uwe unawalia chabo utamjua mbaya wako.
 
Nina kuku wa kienyeji wachache lakini kila wakitaga mayai yanaliwa na sijui nani anayala.

Nimeziba matundu makubwa makubwa yote bandani lakini bado,inaweza kua nyoka?? Au mnyama gani mdunchu mwenye anaweza kupenya kwenye matundu madogo?

Nifanye nini kumdhibiti mnyama/mdudu huyo jamani napata hasara.
Mayai yangu yanaliwa jamani
 
Serious mkuu kuna kuku anataga hapo hapo anakula ukisikia anaita inabidi ukimbilie la sivyo atalila mkuu dawa ni kuchoma mdomo na kisu cha moto ashindwe kutoboa yai
Kuchoma kuku midomo huo ni ukatili sana kwa wanyama na ni kupingana na uumbaji wa mwenyezi Mungu kuwapa kuku midomo mirefu na iliyochongoka, mbinu mbadala ni kuingia bandani na kutoa mayai yote yaliyotagwa siku hiyo na pale wanapotanga kuacha mayai 3 viza, na kama kuna kuku anataka kulalia basi utachukua mayai kwenye tray na kumwekea..... simple....
 
sawa mkuu nitaacha
 
Back
Top Bottom