Lyauke, mfungukie tuu binti mweleze shida yako kwa ukweli mtupu bila kutumia chembe ya uongo. Huwezi kutafuta comment ambayo haijawahi kuwepo.
Kupitia search engine, ukiandika jina la member yoyote na jina la alipo comment, comments zote zinakuja, mimi ni mzee, dingi fulani hivi, sina mambo ya mabinti, mambo yangu ni yale ya wazee kama Faiza na sio vibinti.
Ila pia wengine tumezeekea humu jf, nikukumbushe
Enzi zangu za ujana nikiwa under 50 hapo ni kabla sijawa babu, sasa mimi ni babu!.
Wanabodi, Wenye utaalaam na mambo ya anatomy, naulizia anatomical reasons, why only some do and others don't?. For those who does, why some just some little fluid and others so much fluid?! appx over a litre mpaka kitanda chote kinaloa, shuka zinaloa hadi godoro linaloa?! Na kwa vile mhusika...
www.jamiiforums.com
Wanabodi, Kwa vile leo ni weekend, hakuna ubaya kuburudika na picha za blacks beauty ambapo katika wasifu wa Black Beauty, jee, did you know kuna two different types of Black Beauties?!. Kuna Blacks ambao ni black inside out na kuna blacks ambao ni black outside but inside red!. Hao black...
www.jamiiforums.com
Wanabodi, Kama umejaaliwa kipaji cha kupenda kwa dhati, sio vibaya kuwafundisha na wengine kupenda kwa dhati hivyo kuimarisha ndoa despite all the odds!, hii maana yake hakuna ndoa isiyo na matatizo hata madogo madogo!. Hivi ninavyoandika hapa, sijalala usiku kucha nikimsubiri wife ambaye ndio...
www.jamiiforums.com
P