Mayai yalivyonitesa katika mimba yangu ya kwanza

Inategemea na mwenye sperms zenye nguvu zaidi
Sasa wewe Kama mwanamke utajua sperm zenye nguvu Ni zipi hapo?
Kumbuka zote zimekaa mkao wa kula kusubiri yai lishuke tu ziweze kurutubisha.

Kwa wanyama Kama mbwa hapo zote zingetoka na kitoto chake Sasa kwa mwanadamu sasa hapo unawezaje kumjua baba wa mtoto kwenye situation Kama hiyo?

Au inabidi ucheki misuli ya washkaji kwanza ujue Mwenye nguvu yupi?

Sijakulenga wewe best Ni tafakuri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe Kama mwanamke utajua sperm zenye nguvu Ni zipi hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hilo swali ukiwauliza wenye hiyo michezo utapata majibu mazuri zaidi

Mimi experience yangu ni huyo tu mmoja kwa miezi6+ sasa ila wajuzi zaidi wanasema mimba inapoingia mnakua mnajua, kama mimi na baba k hiyo siku tulijua kabisa na hata kabla ya kupata the next p alinambia pima’ nikapima imo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom