Mayahudi wazomewa kila pembe ya dunia

Mayahudi wazomewa kila pembe ya dunia

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,488
Reaction score
16,646
Waongoza ndege wa uwanja wa ndege wa Charles de Gaule wa Paris kuwaambia marubani wa ndege ya Israel 'Free Palestine" akimuaga baada ya kumsafishia njia ya kuondoka.

Kauli hiyo ya muongoza ndege ilifuatia baada ya ofisi za ndege za shirika hilo huko Paris kusiribwa na masizi na maandishi ya kuwaunga mkono wapalestina.

Huko huko Paris mti uliopandwa kumuenzi yahudi mmoja aitwaye Halimi aliyeuwawa miaka 14 iliyopitwa nao umekatwa chini,jambo ambalo raisi Macron wa nchi hiyo ameapa kuwatafuta watu hao.

1755516408037.png

Wiki moja kabla ubalozi wa Israel mjini Hagua nao ulivamiwa na kupakwa rangi za damu pamoja na milango yake kuvunjwa vunjwa.

1755516181617.png

Matukio ya aina hiyo yameenea kote duniani katika kipindi hiki cha miaka miwili ya vita vya Gaza.Maandamano makubwa sana kuwahi kutokea yamefanyika nchini Australia wakiwaunga mkono wanachi wa Palestina,

View: https://www.youtube.com/watch?v=j9S1qnZvWpk
Wamebaki watu wanne tu wenye mapenzi na wauwaji ambao ni Echolimali,Imeloa,Yoda na Mlaleo.
 
View attachment 3445255
Wiki moja kabla ubalozi wa Israel mjini Hagua nao ulivamiwa na kupakwa rangi za damu pamoja na milango yake kuvunjwa vunjwa.
View attachment 3445253

Si kwelii ,wewe ni muongo hata tanzania ni pembe lakini hatujazomeaa ,acha uongooooo ,uongo haukusaidiii kupata attention ,

Aidha nikumbushe kwamba Wayahudi ni wateule wa Mungu ,hata Waarabu koko wa Namtumbo waungane na Waarabu wa Iran hawatofanikiwa kuwauwa Wayahudi.
 
mbona Hamas na Khamenei wamewapata wengi tu.
 
Ukiona unazomewa ujue ni dalili ya kuonewa wivu na maadui zako.Ni heri kuonewa wivu kuliko kuonewa huruma.Tajiri siku zote huonewa wivu na maskini huonewa huruma🤔
 
Ukiona unazomewa ni dalili ya kuonewa wivu na maadui zako.Ni heri kuonewa wivu kuliko kuonewa huruma.Tajiri siku zote huonewa wivu na maskini huonewa huruma🤔
Sasa ile vita ya siku chache umesikia nguvu kazi ya Taifa teule imepotea
 
Ukiona unazomewa ujue ni dalili ya kuonewa wivu na maadui zako.Ni heri kuonewa wivu kuliko kuonewa huruma.Tajiri siku zote huonewa wivu na maskini huonewa huruma🤔
Kule kwa bibi wanaamini kuzomewa ni uchuro.
Ukiona unazomewa mara kwa mara na hata maskini ujuwe mwisho wako upo karibu.
 
Si kwelii ,wewe ni muongo hata tanzania ni pembe lakini hatujazomeaa ,acha uongooooo ,uongo haukusaidiii kupata attention ,

Aidha nikumbushe kwamba Wayahudi ni wateule wa Mungu ,hata Waarabu koko wa Namtumbo waungane na Waarabu wa Iran hawatofanikiwa kuwauwa Wayahudi.
Na Papa Francis naye aliteuliwa na nani na ule waraka?
 
Waongoza ndege wa uwanja wa ndege wa Charles de Gaule wa Paris kuwaambia marubani wa ndege ya Israel 'Free Palestine" akimuaga baada ya kumsafishia njia ya kuondoka.
Kauli hiyo ya muongoza ndege ilifuatia baada ya ofisi za ndege za shirika hilo huko Paris kusiribwa na masizi na maandishi ya kuwaunga mkono wapalestina.
Huko huko Paris mti uliopandwa kumuenzi yahudi mmoja aitwaye Halimi aliyeuwawa miaka 14 iliyopitwa nao umekatwa chini,jambo ambalo raisi Macron wa nchi hiyo ameapa kuwatafuta watu hao.
View attachment 3445255
Wiki moja kabla ubalozi wa Israel mjini Hagua nao ulivamiwa na kupakwa rangi za damu pamoja na milango yake kuvunjwa vunjwa.
View attachment 3445253
Matukio ya aina hiyo yameenea kote duniani katika kipindi hiki cha miaka miwili ya vita vya Gaza.Maandamano makubwa sana kuwahi kutokea yamefanyika nchini Australia wakiwaunga mkono wanachi wa Palestina,

View: https://www.youtube.com/watch?v=j9S1qnZvWpk
Wamebaki watu wanne tu wenye mapenzi na wauwaji ambao ni Echolimali,Imeloa,Yoda na Mlaleo.

Hate za waislam mnasema za Dunia.

Alfau kumbe ni Allah anayetia chuki tokea miaka elfu moja na mia nne hadi leo anatembeza chuki waislam wawachukie Wayahudi hahaha

QURAN 5:64
وَقَالَتِ الْيَهُودُ يَدُ اللَّهِ مَغْلُولَةٌ ۚ غُلَّتْ أَيْدِيهِمْ وَلُعِنُوا بِمَا قَالُوا ۘ بَلْ يَدَاهُ مَبْسُوطَتَانِ يُنْفِقُ كَيْفَ يَشَاءُ ۚ وَلَيَزِيدَنَّ كَثِيرًا مِنْهُمْ مَا أُنْزِلَ إِلَيْكَ مِنْ رَبِّكَ طُغْيَانًا وَكُفْرًا ۚ وَأَلْقَيْنَا بَيْنَهُمُ الْعَدَاوَةَ وَالْبَغْضَاءَ إِلَىٰ يَوْمِ الْقِيَامَةِ ۚ كُلَّمَا أَوْقَدُوا نَارًا لِلْحَرْبِ أَطْفَأَهَا اللَّهُ ۚ وَيَسْعَوْنَ فِي الْأَرْضِ فَسَادًا ۚ وَاللَّهُ لَا يُحِبُّ الْمُفْسِدِينَ
Al-Barwani
Na Mayahudi walisema: Mkono wa Allah umefumba. Mikono yao ndiyo iliyo fumba, na wamelaaniwa kwa sababu ya waliyo yasema. Bali mikono yake iwazi. Hutoa apendavyo. Kwa yakini yaliyo teremshwa kwako kutoka kwa Mola wako Mlezi yatawazidisha wengi katika wao uasi na kufuru. Na Sisi tumewatilia uadui na chuki baina yao mpaka Siku ya Kiyama. Kila mara wanapo washa moto wa vita, Allah anauzima. Na wanajitahidi kuleta uharibifu katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu hawapendi waharibifu.

ISRAEL KUMBE NI MBABE WA ALLAH TOKEA ZAMANI

Ukiangalia kwa umakini hiyo Aya ni vive versa Waislam ndio wanaanzisha vita alafu Israel anavizima na waliolaaniwa ndio hao hao waislam na Allah hana uwezo wa kuwashinda waislael pamoja na kuomba usaidizi kwa Waislam na baadhi ya mashabiki maandazi Irish,Australia,France na Spain and UK Too ila hawana uwezo kila wakiwasha moto wao uongo,baby killer,Njaa,Genocide wanaishia kuumbuliwa na ukweli.
 
Si kwelii ,wewe ni muongo hata tanzania ni pembe lakini hatujazomeaa ,acha uongooooo ,uongo haukusaidiii kupata attention ,

Aidha nikumbushe kwamba Wayahudi ni wateule wa Mungu ,hata Waarabu koko wa Namtumbo waungane na Waarabu wa Iran hawatofanikiwa kuwauwa Wayahudi.
Wewe fala punguani tupo hapa tunatizama habari za kimataifa huko Ulaya mataifa ya Ulaya yote yanawazomea wayahudi Kila wanapopita. Mwezi uliopita tu meli ya wayahudi ilipotaka kutia nanga raia wa Ugiriki waliizuia wakiimba "hatutaki wauaji iachieni Palestina". Balozi wa Israel nchini Ugiriki alipoiamrisha serikali ya Ugiriki kukemea hilo WAZIRI MKUU wa Ugiriki alisema "we don't learn democracy to baby killers".
Kama hutizami habari funga bakuli lako.
Ulaya kote hawaipendi Israel asahivi.
Ireland amechukua hatua ya kukatisha makubaliano ya kibiashara na Israel.
 
Ndio Pembe zotee za dunia

Any way sijalelewa kwa matusi nimelewa kwa maadili ,so huko ugiriki inatosha kujustifying kwamba ninpembe zote za dunia
 
Wafaransa walioukata mti wa kumuenzi yahudi waliondoka nao kabisa na kuacha kinyango shinani pake.Raisi Macron atapata shida kuutafuta mti ule.
 
Ndio Pembe zotee za dunia

Any way sijalelewa kwa matusi nimelewa kwa maadili ,so huko ugiriki inatosha kujustifying kwamba ninpembe zote za dunia
Dunia maarufu ina pembe 4. Pembe ya kaskazini tunaikuta Ireland na hata UK wanawazomea mayahudi.Pembe ya kusini ni Afrika kusini wamefungua kesi ICC.
pembe ya magharibi kuna Australia umewaona hapo katikati ya jiji walivyocharuka.pembe ya magharibi mpaka Israel imemuita balozi wake baada ya Brazili kuizomea.
 
wazomewe na nani wakati ndo kichapo kinaanza week hii kuanzia ijumaa mkitoka kuswali ni kichapo hadi j3,siku zenu za msamaha wa yule mwehu kule US zimeisha sasa ni moto tu kuanzia Iran,Gaza,na wale nyau houthi.
Naongea muisrael yahudi toka hapa manyoni singida😎
 
Unajua Jews (Judaist) wengi wala hawana shida yoyote, changamoto ni wale Jews (Zionist). Zionism imefanywa kama ndio movement ya wayahudi wote duniani, wakati wale orthodox Jews na wale wanaoifuita Judaism kweli kweli au tuseme wale traditional Jews wanapinga vikali hii movement ya Zionism Kwa kuwa wameiona haifuati Torah kabisa.

Sasa wale secular Jews ni kundi linalochanganya mambo Kwa maslahi yao hivyo ni watu wenye nguvu Sana kiuchumi, sample mdogo tu ni Ile cream ya top ten richest men utaona kuna Jews pale kama wanne hivi, licha ya hivyo makampuni mengi ya US na Europe wanasapoti Israel maana Israel ni mteja mkubwa na rafiki wa pekee middle East Kwa US na EU.

Mfano Palantir (US tech company) ndio imewasaidia Sana Israel kuwamaliza makamanda wa vikundi vya kigaidi na hata wale Makamanda wa Iran, hawa Jamaa kazi yao ni data mining, hivyo hata sasa hivi wakisema waje na drone kuja kukua wanakuua Tu maana unatumia infrastructure za US kwenye mawasiliano, hivyo ni chain ndefu Sana inayofaidika na migogoro, kuna zile military industrial complex bila hiyi vita wasingeuza silaha...
 
Back
Top Bottom