Mayahudi wazomewa kila pembe ya dunia

Mayahudi wazomewa kila pembe ya dunia

Dunia maarufu ina pembe 4. Pembe ya kaskazini tunaikuta Ireland na hata UK wanawazomea mayahudi.Pembe ya kusini ni Afrika kusini wamefungua kesi ICC.
pembe ya magharibi kuna Australia umewaona hapo katikati ya jiji walivyocharuka.pembe ya magharibi mpaka Israel imemuita balozi wake baada ya Brazili kuizomea.
bwana Mkojani naona povu sanaaa wewe na wakojani wenziwe hamtaifanyaa chochote taifa teule ,mnapiga ramli tuu za kiganga wa pembaa ,hata mipige kelele hakuna kitu mtafanyaaa ,soon utaskia ULAYA WOTE WANAIUNGA MKONO
 
Tusubiri na utaona hapo baadae hali itakavyowageuka marafiki zako wa kilokole.
 
Tusubiri na utaona hapo baadae hali itakavyowageuka marafiki zako wa kilokole.
Huyo ni kichaa mkuu hata ukitizama hoja zake hazina maana wala mashiko.
Ni mpofu wa ufia dini achana naye atakupotezea muda.
 
Waongoza ndege wa uwanja wa ndege wa Charles de Gaule wa Paris kuwaambia marubani wa ndege ya Israel 'Free Palestine" akimuaga baada ya kumsafishia njia ya kuondoka.

Kauli hiyo ya muongoza ndege ilifuatia baada ya ofisi za ndege za shirika hilo huko Paris kusiribwa na masizi na maandishi ya kuwaunga mkono wapalestina.

Huko huko Paris mti uliopandwa kumuenzi yahudi mmoja aitwaye Halimi aliyeuwawa miaka 14 iliyopitwa nao umekatwa chini,jambo ambalo raisi Macron wa nchi hiyo ameapa kuwatafuta watu hao.

View attachment 3445255
Wiki moja kabla ubalozi wa Israel mjini Hagua nao ulivamiwa na kupakwa rangi za damu pamoja na milango yake kuvunjwa vunjwa.
View attachment 3445253
Matukio ya aina hiyo yameenea kote duniani katika kipindi hiki cha miaka miwili ya vita vya Gaza.Maandamano makubwa sana kuwahi kutokea yamefanyika nchini Australia wakiwaunga mkono wanachi wa Palestina,

View: https://www.youtube.com/watch?v=j9S1qnZvWpk
Wamebaki watu wanne tu wenye mapenzi na wauwaji ambao ni Echolimali,Imeloa,Yoda na Mlaleo.

Si sahihi kumshambulia mtu yeyote kwa sababu tu serikali fulani huko mbali inafanya jambo usilolipenda. Mimi siwezi kukutana na mchina huku Dodoma, halafu nimshambulie eti kwa sababu serikali ya China imemnynyasa Mtanzania fulani huko Hongkong.
 
Wewe huwezi na mimi pia.Lakini kwa mayahudi ni jambo la kawaida sana.
 
Ukiona unazomewa ujue ni dalili ya kuonewa wivu na maadui zako.Ni heri kuonewa wivu kuliko kuonewa huruma.Tajiri siku zote huonewa wivu na maskini huonewa huruma🤔
Huyuu Kojani la mwanakwerekwe linatuletea uongo tuu hapaa ili apate attention na bado Israili itawshikisha adamu hadi waombe maji ya bahari ,MASHARIKI YA KATI MWENYE NGUVU ALIYE BAKI NI Iran soon tutamalizana naye tuuu
 
Si kwelii ,wewe ni muongo hata tanzania ni pembe lakini hatujazomeaa ,acha uongooooo ,uongo haukusaidiii kupata attention ,

Aidha nikumbushe kwamba Wayahudi ni wateule wa Mungu ,hata Waarabu koko wa Namtumbo waungane na Waarabu wa Iran hawatofanikiwa kuwauwa Wayahudi.
Mi ni Mtanzania na nimezomea,na wewe acha uongo tafuta kazi ufanye.
 
Si sahihi kumshambulia mtu yeyote kwa sababu tu serikali fulani huko mbali inafanya jambo usilolipenda. Mimi siwezi kukutana na mchina huku Dodoma, halafu nimshambulie eti kwa sababu serikali ya China imemnynyasa Mtanzania fulani huko Hongkong.
Hao raia wa Israel mkuu wana fujo.
Hao popote wanapoenda wanafanya fujo.
Spain msimu wa Europa walifanya fujo pia hapo hapo Ugiriki walifanya fujo mwaka huu huu.
Uholanzi nako walifanya fujo wakatandikwa balaa.
Hakuna kizazi cha kipuuzi kama cha kiyahudi.
 
Hamas ndio walianzisha vita kwa kuwaua mamia kwa mamia ya Wayahudi.
Wapalestina waliandamana kushangilia mauaji yale sasa yanawakuta wao!
Acha wakipate wanachokistahili kama walivyoanza!
 
Hamas ndio walianzisha vita kwa kuwaua mamia kwa mamia ya Wayahudi.
Wapalestina waliandamana kushangilia mauaji yale sasa yanawakuta wao!
Acha wakipate wanachokistahili kama walivyoanza!
Vita haikuanzisha na Hamas.
Utakua ni mpuuzi na FALA kama haukufuatilia mwezi Agosti Israel ilipokua ikivunja nyumba za Khan Younis kupanua makazi ya kizayuni,pia ikipulizia mashamba ya Gaza sumu na mimea kufa.
Pia ikiwakamata watoto chini ya miaka 12 na kuwafunga pasi na mashtaka.
Pia usisahau kabla ya Oktoba 7 Israel alimpiga risasi ya kichwa mwandishi wa habari Sherin Abu Akleh pasi na kosa lolote.
Usidhani watu hawana akili kijana.
 
Jews attacked with red paint at Israeli hostage vigil

1756019171155.png
 
Siungi mkono mauaji ya gazs, ila Israel ndo kiboko ya ukorofi n dharau ya mwarabu.
 
Back
Top Bottom