Unajidanganya, USA ndiye yuko nyuma ya Kila jambo. Waarabu wanashindwa kuchukua hatua kwa kuogopa ubabe wa USA.Siungi mkono mauaji ya gazs, ila Israel ndo kiboko ya ukorofi n dharau ya mwarabu.
Sawsaw hata waarabu wanaogopwa kwakuwa wanajivunia ugaid, ila kama sio hilo ni waafrika wenye rangi.Unajidanganya, USA ndiye yuko nyuma ya Kila jambo. Waarabu wanashindwa kuchukua hatua kwa kuogopa ubabe wa USA.
Ila Israel hakuna taifa la kiarabu unaogopa Israel.
Mwarabu gani anajivunia UGAIDI!?Sawsaw hata waarabu wanaogopwa kwakuwa wanajivunia ugaid, ila kama sio hilo ni waafrika wenye rangi.
Yes, ntakuwa siujui.Mwarabu gani anajivunia UGAIDI!?
Unajua maana ya UGAIDI!?
Embu tuambie UGAIDI ni nini!?
Maana huwenda hata unaloongea hujui maana yake.