Maya amkufuru mungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maya amkufuru mungu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MziziMkavu, Aug 19, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,612
  Trophy Points: 280
  MAYA AMKUFURU MUNGU  Na Imelda Mtema
  Mcheza sinema za Bongo ambaye ni muumini mzuri wa dini ya Kiislam, Mayasa Mrisho a.k.a Maya amemkufuru Mungu baada ya kunaswa na vuvuzela wetu akipombeka kama kawa licha ya kuwa kwenye mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

  Mambo yalianza hivi. Jumatano ya Agosti 10, Maya alionekana akiwa amefunga na siku hiyo alifuata taratibu zote za mfungo wa Mwezi Mtukufu.
  Alhamisi ya Agosti 11, Maya alionekana kwenye sherehe ya Send off ya Faraja iliyofanyika ndani ya Ukumbi wa SOJA jijini Dar es Salaam akiwa amewatega wanaume kwa kuacha matiti wazi huku baibui ambayo mchana hushinda ameivaa akiwa ameipa kisogo.

  Jumamosi ya Agosti 13 msanii huyo alibambwa na paparazi wetu akigida kilevi ‘live' huku akisisitiza kwamba hiyo ndiyo daku yake na Mungu hawezi kumuhukumu kwa hilo kwa sababu hatendi dhambi kama watu wanavyofikiria.

  "Sioni kama kuna tatizo kuvaa nguo kama hizi mwezi huu wala kunywa pombe, naamini Mungu haangalii hayo bali anaangalia matendo mabaya ya mwanadamu," alisema Maya. Picha bonyeza hapa http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/maya-amkufuru-mungu
   
 2. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  hivi ni nini maana ya kukufuru?
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  mkuu MM nikwamba hawa wanaojua umuhimu wa kufunga halafu wanakiuka maadili wao watachomwa na moto wa gesi amini mi nakuambia..
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mbona kichina baada ya ku qoute khee!..
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyo Maya anacheza tu, uislam auitaji watu, watu ndio wanauitaji uislam
   
Loading...