May 2016 bless me with a husband!

May 2016 bless me with a husband!

Siwezi kukujibu sababu najua sio kosa lako...ni uelewa tuu mdogo labda unakusumbua..merry xmass though

umemjibu vizuri sana sometimes tuna deal na vitoto humu ndio inakua shida, au kama yeye ndoa imemshinda akae pembeni, umekua very honest to GOD, i believe God i save will give your heart desire in Jesus name.
 
Amina. MUNGU ATATENDA MIUJIZA.
Yan Mungu ntamganda mpaka kieleweke 2016 unitunuku na mume kabisaaa sio boyfriend....sijawah apa au kusema mwaka flan nipate mwenza ila huu mwaka 2016 yan nautolea macho in Jesus name na ntakuja kutoa feed back humu December 2016.. najua kuna wanawake wenzangu ambao nao wanaomba iwe hvo..hamna namna nyingine zaid ya kupiga goti kwa Mungu atupe waume na wake boraa..ila huu mwaka ntadili na Mungu vizuri ipasavyo kwa maana amesema tumuite nae ataitika na atatuonyesha mambo makubwa makuu tusioyajua.natarajia mema!
 
Amen naye Mungu muweza wa yote alifanikishe hili.....
 
Yan brenda wangu hawa viumbe wa mungu ili uweze kuishi nao kwanza wape asilimia kidogo sana kwenye moyo inayobaki jipenge mwenyewe upendeze zako na kufanya kila kitu unachopenda wao wawepo tu,mimi kwa matukio yao mmh sina hamu nao

Kabisa mpenz umenena,jipende mwenyewe kwanza,akisepa powa akibaki pia powa hapunguzi chochote,ukiwaamini sana ipo siku utashuhudia roho inakutoka huku unajiona,chaaaa....
 
Hata mimi namuomba sana mungu nipate mke aliye bora sana atakae nisaidia kimawazo kuijenga familia bora yenye amani na furaha.

kwa nini usiungane na hao wapendwa wanaoomba kwa ajili ya kupata wanaume wema mkamrahisishia Mungu kazi?
 
NYOTA zinasema utakuwa mwaka wa MAPENZI

1+6=7 Hii namba inawakilisha Mapenzi...

Mfanikiwe na Msisahau mizimu Ya kwenu.
 
Back
Top Bottom