May 2016 bless me with a husband!

May 2016 bless me with a husband!

Hahahaaaa!! Hilo ombi lako mbona kama sijalielewa!

Hahahaa, sasa na mimi nimeweka ombi langu walau maana ombi la ndoa mwaka 2016 halipo kwenye bichwa langu, na naona hapa watu wanaanza novena😂😂😂😂😂
 
Upendo upo na nina enjoy kabisa ila tu nikiona mambo yamekuwa cheusi chekundu najua ndo mwisho wa kuenjoy umefika inabidi nienze maisha mapya.yan siwezi kuingia popote kwa asimilia hawa wanaume tucheke nao tu kwakwel my dear nlipata maumivu yaliyodumu miaka miwil katika moyo saiv sina hamu nao kabisa nawapa 50% tu

Mimi moyo wangu wa baridi kabisa kwa hawa viumbe....
 
Amini mungu anakwenda kutenda.maana yeye si kiziwi mpaka asisikie vilio vya waja wake.Lilymashy na wooote wenye uhitaji mungu yupo nanyi kwa wakati uliokubarika.
 
It Takes Two to Tango...., Uvumilivu on your Part na Busara zinaweza kumbadilisha hata yule so Called sio Mwema na kuwa a Partner, Cha muhimu tafuta mtu ambae sio Kero kwako na tabia zake zinaweza kuvumilika kwako..., Kumbuka unatafuta partner wa kusafiri kwenye mabonde na milima hivyo you need someone you can lean on as well as when needs be he can lean on you, ukimtendea wema hata kwa mabaya yake you will have done your part kama muhimili wa familia
 
Lilymashy Mungu akupe mime mwema na mwenye mapenzi mema, mie pia Niko kwenye maombi kwa mwaka ujao nipate mume mwema najua Mungu atatenda maajabu kwetu. Cha msingi usichoke kumuuomba Mungu nae atatenda kwa wakati wake.

Amen dear mungu ni mwema na atatushangaza
 
Hahahaa, sasa na mimi nimeweka ombi langu walau maana ombi la ndoa mwaka 2016 halipo kwenye bichwa langu, na naona hapa watu wanaanza novena😂😂😂😂😂

Hahahaaaa!! Haya mama.
 
It Takes Two to Tango...., Uvumilivu on your Part na Busara zinaweza kumbadilisha hata yule so Called sio Mwema na kuwa a Partner, Cha muhimu tafuta mtu ambae sio Kero kwako na tabia zake zinaweza kuvumilika kwako..., Kumbuka unatafuta partner wa kusafiri kwenye mabonde na milima hivyo you need someone you can lean on as well as when needs be he can lean on you, ukimtendea wema hata kwa mabaya yake you will have done your kama muhimili wa familia

Absolutely
 
Hahah kuumizwa kupo mshenga mie pia binadamu natumia moyo sio battery....
Mimi na atoto hatulilii ndoa,ndio maana atoto wangu yupo busy na pesa mimi niko busy na mambo yangu sitaki maumivu 2016

Yaani pesa ije ije nyingi hadi nishangae, God bless me more, ila zaidi anipe hekima.
 
Last edited by a moderator:
Yan Mungu ntamganda mpaka kieleweke 2016 unitunuku na mume kabisaaa sio boyfriend....sijawah apa au kusema mwaka flan nipate mwenza ila huu mwaka 2016 yan nautolea macho in Jesus name na ntakuja kutoa feed back humu December 2016.. najua kuna wanawake wenzangu ambao nao wanaomba iwe hvo..hamna namna nyingine zaid ya kupiga goti kwa Mungu atupe waume na wake boraa..ila huu mwaka ntadili na Mungu vizuri ipasavyo kwa maana amesema tumuite nae ataitika na atatuonyesha mambo makubwa makuu tusioyajua.natarajia mema!
mume nipo hapa
 
Asante,nilishapoa na kupona kabisa,ndoa haiji bila kudate kwanza..alafu ukishaanza mambo ya ndoa utajikuta kila unaeanza nae mkikwaruzana unachanganyikiwa ndoa haipo
Mimi naomba foundation ya relationship kwanza iwe nzuri hayo mambo ya ndoa yapo tu sina haraka.....

Ndoa inakuja bila hata kudate.
 
Amen my dear,2015 tulipanda 2016 tukavune,Mungu bariki kazi za mikono yetu,ukatupe kibali mbele ya macho ya watu wako
Merry xmas atoto Heaven Sent everhurt.....

2016 pesa ije kwa wingi,
Madili yajae pipa,
Kila tushikacho kigeuke dhahabu,
Tusiumizwe na mapenzi,
Furaha itawale mwaka mzima na maisha yetu yote.

Aaamin.
 
Last edited by a moderator:
Kuna msemo katika kabila fulani kwamba ukimwomba Mungu akusaidie basi na wewe unaweka kiwango sawa cha nguvu kulingana na kile unachoomba kusaidiwa. Mfano kama unaomba laki basi unakuwa na laki kibindoni.

Nakutakia kila la heri na kukuribisha katika mkusanyiko wa kumalizia majukumu yetu hapa duniani. Kwani baada ya ndoa kuna lipi tena?
 
Ombeni mtapewa...,tafuteni mtapata, pigeni hodi mtafunguliwa...
Na iwe kwako kama vile uombavyo!
 
Back
Top Bottom