May 2016 bless me with a husband!

May 2016 bless me with a husband!

Dada angu mm naungana na ww ktk maombi kwa kumuomba Mungu ili aweze kukutimilizia yale yote unayoyatamani, Naye Bwana asema,``Niite nami nitaitika" Na pia asema ``Wakusanyikapo wawili au zaidi nami huwa ktkati yao" Tuko pamoja dadaangu katika maombi.
 
Bado Sihitaji ndoa, sihitaji mapenzi, sihitaji mpenzi wala Mahusiano.. Nafurahia Maisha ninayoishi na kila siku nafurahi na kuomba niendelee kuwa single mpaka 2020
 
Yan Mungu ntamganda mpaka kieleweke 2016 unitunuku na mume kabisaaa sio boyfriend....sijawah apa au kusema mwaka flan nipate mwenza ila huu mwaka 2016 yan nautolea macho in Jesus name na ntakuja kutoa feed back humu December 2016.. najua kuna wanawake wenzangu ambao nao wanaomba iwe hvo..hamna namna nyingine zaid ya kupiga goti kwa Mungu atupe waume na wake boraa..ila huu mwaka ntadili na Mungu vizuri ipasavyo kwa maana amesema tumuite nae ataitika na atatuonyesha mambo makubwa makuu tusioyajua.natarajia mema!

Tuanzia hapa, ur welcome my dear!!!
 
Mungu amenifunulia, yale maombi 2015 ya kupata mke sasa yametimia....sasa lilymashy mie ndo muhusika usingoje mwingine
 
Last edited by a moderator:
Lilymashy Mungu akupe mime mwema na mwenye mapenzi mema, mie pia Niko kwenye maombi kwa mwaka ujao nipate mume mwema najua Mungu atatenda maajabu kwetu. Cha msingi usichoke kumuuomba Mungu nae atatenda kwa wakati wake.
 
Mungu ndo kila kitu...Nimependa objective yako na namna ulivyoi-present.
 
Hata mimi namuomba sana mungu nipate mke aliye bora sana atakae nisaidia kimawazo kuijenga familia bora yenye amani na furaha.
 
Hahahaa umejihakikishiaje usalama hebu nifundishe na mimi...
Hapo ulipojihifadhi hakuna upendo ndio maana pakibuba hautoumia

Upendo upo na nina enjoy kabisa ila tu nikiona mambo yamekuwa cheusi chekundu najua ndo mwisho wa kuenjoy umefika inabidi nienze maisha mapya.yan siwezi kuingia popote kwa asimilia hawa wanaume tucheke nao tu kwakwel my dear nlipata maumivu yaliyodumu miaka miwil katika moyo saiv sina hamu nao kabisa nawapa 50% tu
 
Mungu akujalie mme mwema ukimuomba mungu kama hivo atajibu maombi yako dadangu Ameen.
 
Ndio ukae pia kama mwanamke aliyetayari kuwa mama. Maana majambo mengine huwa yanawafanya watangaza nia wahame jimbo.

Show me that nikikuacha home you will take care of my house and family.
 
Oooh Lord bless me with more more more more money
 
Nkajua niko peke yangu kumbe tupo wengi tunaoomba dua hizi.Kumpata aliyebora inahitaji maombi na kujitoa kwa Mungu Mwenyezi.EEE Mungu tunaomba utubariki waja wako katika hili
 
Maumivu tena mshenga? We na atoto huwa hamuumizwi, au?

Hahah kuumizwa kupo mshenga mie pia binadamu natumia moyo sio battery....
Mimi na atoto hatulilii ndoa,ndio maana atoto wangu yupo busy na pesa mimi niko busy na mambo yangu sitaki maumivu 2016
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom