Yan Mungu ntamganda mpaka kieleweke 2016 unitunuku na mume kabisaaa sio boyfriend....sijawah apa au kusema mwaka flan nipate mwenza ila huu mwaka 2016 yan nautolea macho in Jesus name na ntakuja kutoa feed back humu December 2016.. najua kuna wanawake wenzangu ambao nao wanaomba iwe hvo..hamna namna nyingine zaid ya kupiga goti kwa Mungu atupe waume na wake boraa..ila huu mwaka ntadili na Mungu vizuri ipasavyo kwa maana amesema tumuite nae ataitika na atatuonyesha mambo makubwa makuu tusioyajua.natarajia mema!

Nilipewa mke ambae nadhani nilimpata kutokana na sara zangu kuwa legevu na yeye akawa mwiba, nilikuwa nimejipanga upya kusali vilivyo hili nipatiwe mke wa ukweli ukweli kwa mwaka 2016, naona dalili za maombi yangu kujibiwa zinaonekana.
Mi naomba tu anibariki nipate mahela
Mimi moyo wangu wa baridi kabisa kwa hawa viumbe....
Amen my dear,2015 tulipanda 2016 tukavune,Mungu bariki kazi za mikono yetu,ukatupe kibali mbele ya macho ya watu wako
Merry xmas atoto Heaven Sent everhurt.....
Thanks doll, holiday njema pia.
.May we find favor and grace in the eyes of God and men
.Our families (Mungu ziweke salama)
. Good health, (how I pray tusiumwe hata mafua)
. Peace of mind
. More intelligence, more maturity, more wisdom
. Knowledge and understanding (sijui nimerudia mwee)
.Fear of God
. Hela, Hela, Hela mweee
Kwa neema tu tunaomba yote hayo. Na kwa neema yako ukatupe na baraka za mwilini ambazo unaona ni njema kwetu kwa mwaka 2016
C.c atoto
Now i can connect the dots...
Tungejua historia hizi tusingepata shida kuwaelewa kumbe!
Yan Mungu ntamganda mpaka kieleweke 2016 unitunuku na mume kabisaaa sio boyfriend....sijawah apa au kusema mwaka flan nipate mwenza ila huu mwaka 2016 yan nautolea macho in Jesus name na ntakuja kutoa feed back humu December 2016.. najua kuna wanawake wenzangu ambao nao wanaomba iwe hvo..hamna namna nyingine zaid ya kupiga goti kwa Mungu atupe waume na wake boraa..ila huu mwaka ntadili na Mungu vizuri ipasavyo kwa maana amesema tumuite nae ataitika na atatuonyesha mambo makubwa makuu tusioyajua.natarajia mema!
Hahah, once again its you
Nishirikishe ulichoelewa sababu am sure dots zako kuna sehemu zinagoma hivyo unajielewesha vitu tofauti na uhalisia....
Thanks doll, holiday njema pia.
.May we find favor and grace in the eyes of God and men
.Our families (Mungu ziweke salama)
. Good health, (how I pray tusiumwe hata mafua)
. Peace of mind
. More intelligence, more maturity, more wisdom
. Knowledge and understanding (sijui nimerudia mwee)
.Fear of God
. Hela, Hela, Hela mweee
Kwa neema tu tunaomba yote hayo. Na kwa neema yako ukatupe na baraka za mwilini ambazo unaona ni njema kwetu kwa mwaka 2016
C.c atoto
Tungejua historia hizi tusingepata shida kuwaelewa kumbe!
Hahah, once again its you
Nishirikishe ulichoelewa sababu am sure dots zako kuna sehemu zinagoma hivyo unajielewesha vitu tofauti na uhalisia....
Unataka uelewe nini ndugu?