May 2016 bless me with a husband!

May 2016 bless me with a husband!

Haya my dear.. But I still believe Prayers are everything ..Thanks..

Thanks you are right.. prayers are everything... n God wishes comes through various ways. The way alivyojieleza Lilymash anaonekana yuko serious n very interested na naamini kupitia maombi roho amemjia akajikuta amepost na Mimi imenigusa japo mipango ya Mungu anaijua Mungu mwenyewe.
 
Khaa!! Umechoka kulipa bills? Mungu akusaidie :mvutaji:
 
Kikombe cha maumivu,kwaio kama ikibidi nisidate kabisa nipo tayari kuliko heartaches za mwaka 2015...

Dah! Pole sana lakini wenzio wanazungumzia ndoa sio mambo ya kudate bila sababu za msingi.
 
Thanks you are right.. prayers are everything... n God wishes comes through various ways. The way alivyojieleza Lilymash anaonekana yuko serious n very interested na naamini kupitia maombi roho amemjia akajikuta amepost na Mimi imenigusa japo mipango ya Mungu anaijua Mungu mwenyewe.

Ameen dear..May the Lord Grant your Holy heart desire in Jesus name.. Amen.. Thanks..
 
mi nataka hela tu za kutosha maana ndo maisha hayo mapenzi na ndoa ni imagination tu kitu kinapendwa kwanza af mtu so ela ndo everything
 
May be I 'll be the one,we have the same plan and dream for upcoming year.
 
Nothing is impossible to the willing heart.

Mungu akutangulie. Amen.
 
ukiomba kwa moyo utapata
ila punguza ushikaj kwa Muumba wako tia adabu
 
Kikombe cha maumivu,kwaio kama ikibidi nisidate kabisa nipo tayari kuliko heartaches za mwaka 2015...

Sorry,unafikiri sababu ya wewe kupata headache kwa mwaka huu wa 2015 ni Mwanaume tu? Wewe hukuchangia?
 
mi nataka hela tu za kutosha maana ndo maisha hayo mapenzi na ndoa ni imagination tu kitu kinapendwa kwanza af mtu so ela ndo everything

Unamaanisha Pesa ndio kwanza UTU baadaye?
 
Mimi Mungu niepushe na maumivu ya moyo....eeeh ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke 2016

Brenda bwana eti uepushwe na maumivu ya moyo hah hah mimi ayo ndo sitaki kabsa kuyasikia kuna kajisehemu kangu nimejihifazi ambapo ni salama kwakwel pakibuba hata siwezi kuumia naondoka.kimya kimya
 
Dah! Pole sana lakini wenzio wanazungumzia ndoa sio mambo ya kudate bila sababu za msingi.

Asante,nilishapoa na kupona kabisa,ndoa haiji bila kudate kwanza..alafu ukishaanza mambo ya ndoa utajikuta kila unaeanza nae mkikwaruzana unachanganyikiwa ndoa haipo
Mimi naomba foundation ya relationship kwanza iwe nzuri hayo mambo ya ndoa yapo tu sina haraka.....
 
Sorry,unafikiri sababu ya wewe kupata headache kwa mwaka huu wa 2015 ni Mwanaume tu? Wewe hukuchangia?

My dear tatizo sio kosa ni la nani, hakuna mkamilifu...
Binafsi natafsiri haikua katika mipango ya Mungu tufike ndoa ingawa tulipanga hivyo,naamini kila mtu alijifunza kitu kutoka katika uhusiano ule
 
Ameeeen.... Sounds like me na walioniliza wanataka second chance huyu Mungu acha tuu aitwe Mungu.. This year mmmhhmmmm .. Thank you Jesus Amen.. Thanks..

hembu dadavua kidogo hapo mpendwa! Nami naulizia hivi kuna mwenyewe au nawe bado upo kwenye maombi ya kupata Mume
 
Brenda bwana eti uepushwe na maumivu ya moyo hah hah mimi ayo ndo sitaki kabsa kuyasikia kuna kajisehemu kangu nimejihifazi ambapo ni salama kwakwel pakibuba hata siwezi kuumia naondoka.kimya kimya

Hahahaa umejihakikishiaje usalama hebu nifundishe na mimi...
Hapo ulipojihifadhi hakuna upendo ndio maana pakibuba hautoumia
 
Back
Top Bottom