awamu ile imeua biashara na ujasiriamali mwingi sana. tunashukuru Mungu Mama anafufua mengi kwa sasa. tuwe wakweli tu ili tujifunze kutokana na makosa.Hii biashara imekuja kuuliwa na awamu ya 5, hapo zamani max malipo ulikuwa unafanya huduma zoote unalipa maji,unanunua umeme unalipia zuku nk lkn ilipokuaja awamu ya 5 wakabanwa kwenye maswala ya kodi ikafikia kipindi dawasco wakajitoa kwenye max malipo ikabaki luku tu sasa ikawa ili uweze kufanya kazi ile line yao unailipia 20 elfu kwa mwaka unauza umeme kwa mwezi unalipwa 8000 watu wakaona huu upuuzi mtu akamaliza salio lake haongezi tena maaana ni hasara . Hapo ndio ukawa mwisho wao , kuna rafiki yangu ile mashine ameifungia kabatini baaada ya miaka 50 mbele tutapeleka makumbushooooooo tupige pesa turudishe pesa yetu
hatujifunzi hata kwa wakenya, unaona walivyoshikilia safaricom mpesa?Sisi hatupendi watu walioona fursa wakafanikiwa hasa wakiwa wazawa. Serikali iliwaua kabisa. Ndio maana startups nyingi hazifanikiwi.
Kuna njia nyingine. Tafuta solution yenye market kubwa, then hakikisha unashika angala 0.01%Kwa ushauri mimi kama una idea tafuta giant wauzie au kuwa partner wao alafu hata ukila kidogo ni bora kuliko kula kingi cha kidogo...., Better 5 percent of Something than 100 percent of Nothing
Solution yenye market kubwa unless otherwise barrier of entry ni kubwa (yaani mtaji au ujuzi) kila mtu atafanya hence competition itakuwa kubwa kupelekea either slim margins au wengine kuwekeza zaidi hence kuchukua soko zaidi...Kuna njia nyingine. Tafuta solution yenye market kubwa, then hakikisha unashika angala 0.01%
Kama market share ni 100,000 billions USD (223,000 trillions TZS) maana yake utakuwa na 2,230 billion USD (2.23 trilion TZS)
Huu ni mfano tu kuelezea ninachomaanisha. Kama huwezi kuwa Mkubwa, gawana makombo na wakubwa!
Hivi na mwendokasi walipewa exclusivity ? Hawa jamaa walikuwa wanabebwa sana lazima walikuwa na Godfather behind the scenesBaada ya kuondoka mwendokasi na zile machine zao hazijawai kusoma tena tiketi, ni kama mfu sijui sababu ni nini
Hivi na mwendokasi walipewa exclusivity ? Hawa jamaa walikuwa wanabebwa sana lazima walikuwa na Godfather behind the scenes
Kwahio sio kwamba walikuwa Pioneers.., bali walikuja baada ya wengine (selcom) ; wakaja na mashine zao ambazo sidhani kama zilikuwa nzuri zaidi ya wengine; wakapewa exclusivity Motor Vehicle na hio Mwendokasi (ingawa sina uhakika kama ni exclusive).., hapa utaona huenda nguvu ilikuwa the people behind the people na sio the brains behind the product...Yaah walipewa hadi mwendokasi
Yes ni among the most valuable african brandshatujifunzi hata kwa wakenya, unaona walivyoshikilia safaricom mpesa?
Kama mtaji huna na ujuzi huna basi katafute ajira tu. Maana huku hutatoboa!Solution yenye market kubwa unless otherwise barrier of entry ni kubwa (yaani mtaji au ujuzi) kila mtu atafanya hence competition itakuwa kubwa kupelekea either slim margins au wengine kuwekeza zaidi hence kuchukua soko zaidi...
Inawezekana nikawa nyuma. Kuna sheria yoyote rais kasaini inayotoa incentive tofauti na uongozi uliopita?\awamu ile imeua biashara na ujasiriamali mwingi sana. tunashukuru Mungu Mama anafufua mengi kwa sasa. tuwe wakweli tu ili tujifunze kutokana na makosa.
Wakenya hawaishikilii kampuni, ila wana sera bora za uwekezaji!hatujifunzi hata kwa wakenya, unaona walivyoshikilia safaricom mpesa?
Hakuna chochote kilichobadilika Sheria zilezile za ajabu bado zipo mfano kuwa na blog au YouTube channel unakuwa kama mualifu Fulani.Inawezekana nikawa nyuma. Kuna sheria yoyote rais kasaini inayotoa incentive tofauti na uongozi uliopita?\
Naona kama kila kitu kiko vilevile but I might be wrong!