Sidhani kama kuna ukweli hata maxmalipo kufika pale alipo alibebwa sana Selcom alikuwepo kabla yake wakamfanyia figusi Selcom kweye malipo ya Tanesco; wakamyima Selcom kulipia Motor Vehicle akapewa Max Pekee (kwa kofia ya kampuni ya wazawa) hence ni kwamba alikuja baada ya selcom kufanya kile kile anachofanya selcom ila kwa nguvu fulani kutoka sehemu fulani
Sasa kama ulipia umeme alfu ishirini alafu unauza elfu 8000 x 12 hio si ni elfu 96 (jambo ambalo hata haliingii akilini sasa usipouza au ukiuza pungufu)? Pia kumbuka hapa max ni middleman anaye-facilitate products za mwingine ili apewe commission na yeye atoe commission sasa Tanesco inampa ngapi ili yeye atoe guarantee ya elfu nane... (Pili kumbuka hili suala la Luku na Wauzaji / Mawakala liliwakumba wote ndio maana hata mobiles walianza kumchaji mnunuzi kila akinunua na wengine kushusha commissions hadi 1%, vilevile Tanesco walifungua Vibanda vyao ili kuuza Luku..., kuhusu Dawasco siwezi kujua mikataba ipo vipi ila business model is the same
Issue sio kusumbuliwa wao (sababu wote kwenye same industry / business walipata hizo changamoto) sababu ya ukweli ni kwamba sasa hivi players ni wengi....; Mabenki yote; All mobile Providers; Selcom; n.k.
Kwahio competition ni stiff na unless otherwise waendelee kubebwa na kupewa favor kuliko wengine inahitaji kupambana kweli kweli na infrastructure is not on their favor (unashindana vipi na kina CRDB ambao wanatoa wigo zaidi au mitandao ya simu ambayo hata wewe unahitaji infrastructure yao ili uweze ku-compete nao).., Kwahio hali kama hii itaendelea kutokea mara kwa mara kampuni kuzaliwa na kufa kifo cha kawaida through competition