Nilipokuwa mdogo nilielezwa kuwa watoto huokotwa mtoni, nikakua nikajua kuwa kumbe huzaliwa toka tomboni mwa mama, nikafurahi sana, nikangoja siku ifike, naaam ikafika mwana mwanamume akazaliwa mbele ya macho yangu ya nyama na ya mwa ndani wangu aliyechaguo langu sahihi la kunizalia mwana,
Ninakumbuka neno kuu la MKUNGA wa zamu siku naruhusiwa nikiwa nimempokea mpenzi wangu kichanga huku yeye akiwa bado ana pepesuka kwa maumivu ya kuzaa, aliniambia, MUMULEE MWANENU kwa kila hali na mali na mmpe haki yake yamsingi ya kupendwa vyivyo hivyo MPENDE mkeo mpenzi!
Nami narudisha kwako Maxence Mello, Timiza kama ilivyo nenwa hapo juu huku ukionge marifa yako na mungu atasimama mkono wako wa kuume!