Katika namna ya pekee kabisa ningependa sana pongezi zangu zitokezee pande hii...
Hichi kifaa kinastahili pongezi za dhati sana, wengine tunaamini sana kuwa yote haya tunayoyaona ambayo
Maxence Melo ameyafanya kuwa mkono wake wa pili ambao umechangia sana katika kutia msukumo wa ndani sana katika kufanyiza haya yote.....
Salamu sana kwa Melo Jr... Namtakia afya njema sana na Mungu akamuatamie katika makuzi yake yote... Kubwa kuliko lote ni amezaliwa kwa wazazi wema hivyo ni ana bahati sana..
Heri ya siku ya kuzaliwa Bro Max