View attachment 1265541
View attachment 1265543
Taarifa zinaonyesha kwamba amekutana na Mkurugenzi wa IMF Kristalina Giorgieva , ambapo mazungumzo yao yalijikita katika kuwasaidia vijana wa Kitanzania ili kuangalia uwezekano wa kuboresha mazingira ya kufanya biashara .
Kwa niaba ya Wafanyabiashara vijana wa kimataifa naipongeza sana hatua hii ya Melo kutumia fursa hii adimu kutuombea msaada sisi vijana wa Kitanzania .
Mungu ibariki JF