Maxence Melo atinga ofisi za IMF Washington DC

Mbali na yote mliyo yazungumza nikupongeze tu kwa kukutana na kiongozi mkuu wa IMF, ni hatua kubwa sana lakini lazima utumie nafasi hiyo kuilinda nchi yako badala ya vishawi vya kuidumbukiza shimoni.
 
Mbona unawaza hivyo, au unataka kujua labda alipataje kibali cha kusafiri nje ya nchi!
 
Max ni Jamaa Mmoja very humble sana .Huyu jamaa with just a simple body Aseh
 
Kwa mbali naona viatu vya Ruge vimepata mrithi.
 
Sasa badala ya kukutana na JPM anakwenda kumwambia Director wa IMF?Max ulitakiwa ukamwambie Magufuli bwana,au unamwogopa ? Huyu Kristina hatosaidia lolote. Mwenye rungu la kuboresha mazingira ya wafanya biashara hapa Tanzania ni JPM.
Una uhakika JPM hajaonana nae?
 
Kwa navyowajua watani zangu, si ajabu huyu mhaya kashamtongoza huyo mama 😀 😀 😀 . Omugole wa IMF ninkugonza muno, Omukama kalasinge tuikale amoi
 
Sasa badala ya kukutana na JPM anakwenda kumwambia Director wa IMF?Max ulitakiwa ukamwambie Magufuli bwana,au unamwogopa ? Huyu Kristina hatosaidia lolote. Mwenye rungu la kuboresha mazingira ya wafanya biashara hapa Tanzania ni JPM.
kwahiyo huyu wa hapahapa ni mpaka aambiwe ndio aboreshe?Ni jukumu lake haina haja ya kumwambia.
 
Sasa badala ya kukutana na JPM anakwenda kumwambia Director wa IMF?Max ulitakiwa ukamwambie Magufuli bwana,au unamwogopa ? Huyu Kristina hatosaidia lolote. Mwenye rungu la kuboresha mazingira ya wafanya biashara hapa Tanzania ni JPM.
JPM kaisaidia nini Tz kwa miaka yake minne?
 
Hongera sana ila usahau kuelezea mambo mazuri mazuri ya nchi hii kama Stigler, SGR, barabara / Flyovers bila kusahau chaguzi zetu zilivyo huru, wazi na haki. Utakuwa umekuwa MZALENDO Kweli kweli mkuu.
 
Hongera max

Ila kaa mbali na wenye mawazo ya kibeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…