Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,406
- 283,589
Lusinde alivyoenda China nani walikuwa kazini ?Mabeberu wapo kazini
JPM haingiliki bestSasa badala ya kukutana na JPM anakwenda kumwambia Director wa IMF?Max ulitakiwa ukamwambie Magufuli bwana,au unamwogopa ? Huyu Kristina hatosaidia lolote. Mwenye rungu la kuboresha mazingira ya wafanya biashara hapa Tanzania ni JPM.
Aiseee; amefikaje huko? Ni JF au kuna chombo kingine
Heko na Hongera nyingi. Natumaini ombi litafanikiwa.
Lakini ngoja nikutupie dongo laini.
Hiyo picha ya kwanza umejinyenyekesha sana mkuu! Au ni kabla ya kuwasilisha mahitaji kwa mkubwa?
Sasa badala ya kukutana na JPM anakwenda kumwambia Director wa IMF?Max ulitakiwa ukamwambie Magufuli bwana,au unamwogopa ? Huyu Kristina hatosaidia lolote. Mwenye rungu la kuboresha mazingira ya wafanya biashara hapa Tanzania ni JPM.
Labda yeye kaenda kuweka mambo sawa au kuongeza nguvu jikoni kwani hata JPM uwafuata hao IMF.Sasa badala ya kukutana na JPM anakwenda kumwambia Director wa IMF?Max ulitakiwa ukamwambie Magufuli bwana,au unamwogopa ? Huyu Kristina hatosaidia lolote. Mwenye rungu la kuboresha mazingira ya wafanya biashara hapa Tanzania ni JPM.