Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

Refa na washika vibendera hawakutenda haki.....ila huyu mchezaji Mawio alikuwa anafunga magoli kwa kuotea.......tunashukuru mara hii offside hii imeonekana
 
JK aliwadekeza sana mpaka wakamutita rais dhaifu acha sasa waisome namba.

Kila zama na kitabu chake.

Ili gazeti lilitakiwa kufutwa siku nyingi sana .
 
JK aliwadekeza sana mpaka wakamutita rais dhaifu acha sasa waisome namba.

Kila zama na kitabu chake.

Ili gazeti lilitakiwa kufutwa siku nyingi sana .
Na watatulia na hawa Nyumbu wao wanao wategemea
 
lile vuvuzela bichwa kubwa akili kiduchu kazi kupayuka awezi kukusikiliza.
 
Limeitesa sana ccm na Serikali yake nilijua Nape hawezi liacha, hawa jamaa hawataki ukweli kabisa aise
 
kwa jinsi kichwa cha Nape kiliivyo nlijua lazima afungie nabado atashindwa kesi mahakamani
Achana na hizo habari za mahakamani mkuu, hii ni serikali ya matamko na kushtukizana kama hivi!
 
Mwanalisi lilipofungiwa aliazisha MAWIO ,sasa mawio limefungiwa sijui ataazisha MACHOYO ,
 
kwani serikali inavumilia criticisms...it was expected anyway

Na watawalipa Mawio mamilioni kama ilivyokuwa kwa mwanahalisi

mwanahalisi itaendelea kuwa sokoni
Mwanahalisi wamelipwa nini hivi Kubenea kawashikia watu akili sana, nchi inaendeshwa na sheria siyo uhuni na porojo .
 
Mnajifisha ndani ya uhuru mlipewa kwa kuandika ujinga ,eti uhuru ,hata marekani ambayo ndio baba wa democracy,huo ujinga wa kuandika majungu kwa mgongo wa Democrasia hawawezi kuuvumilia, mbona nipashe, tz daima, uhuru ,habari leo ,raia mwema lipo siku zote ,
 
Kubenea bana alikuwa anakutumia kale kaandishi kanjanja kanajiita Jabir Idrisa sasa imekula kwao hawa walitakiwa wapelekwe mahakamani, hawa waandishi makanjanja siyo wakuwaacha hivi hivi walisababisha mauaji makubwa sana Rwanda.
 
Hata ile nyingine ya mwanahalisi iliandikwa permanently?? Tatizo nikuwa kuna utata sheria inakinzana na katiba ya nchi

Kwani hao wanasheria wa Nape hawaelewi sheria yoyote inayokinzana na katiba ya nchi haiwezi kukubalika mahakamani?
 
Kwani hao wanasheria wa Nape hawaelewi sheria yoyote inayokinzana na katiba ya nchi haiwezi kukubalika mahakamani?
Nape yupi anajua sheria au ni kuongea tu ?? Hata walivyolifungia mwanahalisi walikuwa na wanasheria ila wakabwagwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…