Mwanahalisi walishinda kesi kwasababu hiz sheria za ccm zinakinzana na katiba ya nchi so ,serekali itashindwa kesi tenaThis time ndo imetoka hiyo,kumbuka wakati ule hii sheria ya habari nas makosa ya mtandaoni ihaikuwepo.Jaribu na wewe uchemke upigwe pin halafu ukalie mahakamani kama utachomoka.
Mwanahalisi walishinda kesi kwasababu hiz sheria za ccm zinakinzana na katiba ya nchi so ,serekali itashindwa kesi tena
Hata ile nyingine ya mwanahalisi iliandikwa permanently?? Tatizo nikuwa kuna utata sheria inakinzana na katiba ya nchiSheria imeshabadilika, umeshaisoma sheria hii mpya? Ndo maana hapo umenadikiwa Permanently. Kwahi usitegemee hilo.
Gazeti bora ni uhuru na TazamaKwa kweli gazeti Hilo ni la kizushi Sana. Habari zake nyingi hutokana na uvumi tu wala si utafiti
Hata ile nyingine ya mwanahalisi iliandikwa permanently?? Tatizo nikuwa kuna utata sheria inakinzana na katiba ya nchi
Na Star tv mbona huongelei?sema ujinga wake ni upi,habari gani ya uwongo waliyoshindwa kuithibitisha..magufuli bana,hata miezi mitatu bado kashaanza kufungia magazeti,redio na tv stations...
Nimesoma ila sioni mantiki tusibir wanasheria wanasemaje ,ila ukumbuke hii inakinzana na katiba ya nchi ya mwaka 1977.Wameshaibadilisha mkuu, soma hilo tangazo lao la kufungiwa na hivyo vifungu, ni tofauati na vile vya mwanzo. Ndo maana wanasema hata kwenye mtandao halitakiwi.