mountain
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 757
- 311
kila mwanamke/msichana mwenye kaka kuna siku atakua na wifi/mkwe na lawama hii itendelea hii ni chuki ya asili ambayo wanwake wamezaliwa nayo
Hii kitu ni sahihi asee.
kila mwanamke/msichana mwenye kaka kuna siku atakua na wifi/mkwe na lawama hii itendelea hii ni chuki ya asili ambayo wanwake wamezaliwa nayo
Tehe tehe daaaahhh sina nenoLabda huwezi vitu vya namna i ati
![]()
ushasema wanakaa kwenye nyumba ya familia baada ya kuachka! Fanya hv ish maisha yako kwa kuwaheshm na kuyapuuza yale maneno ya chinchin, inaonekana ndoa zao zmewashnda asa wanataka kukuribia bibie!Idimi sisi tunakaa Mbezi Msakuzi na wao wanakaa Kimara Baruti kwenye nyumba ya familia baada ya kuachika.