Kwaiyo unashinda na njaa kisa sehemu uliyopo hairuhusu mkaa.! Eti ๐Ninashukuru kwa ushauri
hapa nilipo hawaruhusu jiko la mkaa
Nimekuwa natumia gesi, hata jiko la mkaa sina kutokana na masharti ya wenye nyumba
Ahsante mkuu kwa kuona talanta ya kuhubiriMbona unaonekana ni mhubiri mzuri tu? Chukua biblia ingia kwenye masoko makubwa utakuja kunishukuru
Kuomba mungu?๐คฃ๐คฃ๐คฃDah pole sana jitahid sana kumuomba mungu kwa imani yako!
Unaomba msaada na husemi unapatikana wapi?, pesa itumwe wapi kwa wanaotaka kukuchangia?, unahitaji msaada wa nini na nini? Ushikwe mkono kwenye lipi?Jinsi mtakavyoguswa kwenye hii changamoto yangu nitashukuru.
Ahsante wakuu zangu, karibuni kunishika mkono ๐๐พ
Kwasasa namna ya kujaza gesiUnataka mawazo yapi?
Namna ya kupata fedha
Namna ya kulala njaa pasina tumbo kutahamaki
Namna ya kujaza mtungi ili uendelee kukopa kwa mangi
Au namna ya kupata kazi ya kukuwezesha kumudu gharama za maisha
Pesa.samahani kwahiyo hapo unataka mawazo ya nini? au jinsi ya kujaza mtungi wa gas?
Sorry Mkuu wanguUnaomba msaada na husemi unapatikana wapi?, pesa itumwe wapi kwa wanaotaka kukuchangia?, unahitaji msaada wa nini na nini? Ushikwe mkono kwenye lipi?
Ndugu huko shuleni ulienda kusomea Ujinga?
Weka taarifa za kutosha ili usaidike, acha kutia tia huruma hapa Jukwaani, kila mmoja ana matatizo muhimu ni kupambana upate unafuu.
Magumu huyapitii peke yako na hakuna ambaye hajatoka mbali.
Be a Man, Ongeza details usaidike.
Nitumie mie nikamjazie,Kwa ushahidi.Dah Pole, ningekutumia hata 5000 ila hamchelewi kwenda kubetia ๐ค
๐คฃ๐คฃsamahani kwahiyo hapo unataka mawazo ya nini? au jinsi ya kujaza mtungi wa gas?
Sentensi yako ina ujumbe mkubwaDunia ni kama dudu linalotisha wakati wewe unajipambania ujikwamue kwenye vikwazo unavyopitia Kuna watu nao wanakupambania wakurudishe kwenye vikwazo.
Amin ๐๐พPole sana Mungu akupiganie.
Sijasema uende kwa mganga maamuzi ni yako amini usiamini Ila huo ni ukweli mchungu.Sentensi yako ina ujumbe mkubwa
Daah, siwezi laumu lakini kuna uwezekano binadamu wanapambana tusitoboe bila sisi kujua nasita kuamini hayo nisije kwenda kwa waganga
Itakuwa ana shida ki afya coz huu ni Uzi wake wa pili kuomba msaadaPole sana masta, kwenye hiki kipindi unachopitia cha mpito jichanganye na kaz yoyote mtaani, ili kupata mahitaji ya msingi ... usichague kaz., hata saidia fundi ama vibarua viwandan.....
Vyeti weka pembeni
Ahsante mkuuPole sana masta, kwenye hiki kipindi unachopitia cha mpito jichanganye na kaz yoyote mtaani, ili kupata mahitaji ya msingi ... usichague kaz., hata saidia fundi ama vibarua viwandan.....
Vyeti weka pembeni