Mawazo yangu kuhusu siasa za 2030

Mawazo yangu kuhusu siasa za 2030

Naunga mkono hoja
Napongeza DCEA
PPP
TUME YA MADINI
TPA
TRC
HIZI TAASISI ZINAKWENDA KUIBEBA TENA CCM KWA MARA NYINGINE NA INASHINDA MAPEMA TU
Unazungumziaje ya 2030 angali 2025 hakukuwa na uchaguzi bali mauaji makubwa yaliwaweka madarakani wauaji ..

Kwasasa yafuatayo yanapaswa kuzungumzwa.

1. Nani alitoa Order ya shoot to kill
2. Maiti za Ndugu zetu zipo wapi tuzike
3. Waliohusiks wote na mauaji makubwa ya Kihistoris wawajibishwe.
4. Uchaguzi mkuu urudiwe
5. Katiba mpya
 
Kumbuka hata Membe, Pinda, na Bilal walikuwa na kambi zenye nguvu sana kuliko Magufuli. Magufuli hakuwa na kambi ya kisiasa ndani ya chama, yeye alikuwa anajulikana kama mtendaji tu mkorofi mtaani. Kwenye siasa za CCM, kutokuwa na kambi huwa ni tiketi ya kukatwa mapema sana. Kupenya kwake kulikuja kama compromise candidate baada ya kambi kubwa za kina Lowassa na Membe kuchinjana na kuleta hatari ya kukivunja chama.

Kama mlikuwa hamtarajii Magufuli kuibuka kinara basi hamjui kufuatilia trend za siasa mnaenda kwa mkumbo tu.
2015 kulikuwa na factors nyingi sana zinazoashirian Magufuli kuwa candidate.
Cc Pascal Mayalla
Unazungumziaje ya 2030 angali 2025 hakukuwa na uchaguzi bali mauaji makubwa yaliwaweka madarakani wauaji ..

Kwasasa yafuatayo yanapaswa kuzungumzwa.

1. Nani alitoa Order ya shoot to kill
2. Maiti za Ndugu zetu zipo wapi tuzike
3. Waliohusiks wote na mauaji makubwa ya Kihistoris wawajibishwe.
4. Uchaguzi mkuu urudiwe
5. Katiba mpya
 
Cha msingi cha kukumbuka ni kwamba historia ya siasa za Tanzania haijawahi kufuata formula ya hisabati. Huwa highly unpredictable. Kumbuka jinsi Magufuli alivyotokea upande ambao hakuna mtu aliyetarajia mwaka 2015, kwa hiyo, hii nadharia ya kwamba mkuu wa DCEA au chombo chochote ataandika historia ya 2030 sasa hivi inaweza kuwa kweli, lakini pia inaweza kuwa distraction tu huku mtu mwingine kabisa asiyetarajiwa akijipanga kimyakimya chini ya kapeti. We just have to wait and see how the cards play out.
Unazungumziaje ya 2030 angali 2025 hakukuwa na uchaguzi bali mauaji makubwa yaliwaweka madarakani wauaji ..

Kwasasa yafuatayo yanapaswa kuzungumzwa.

1. Nani alitoa Order ya shoot to kill
2. Maiti za Ndugu zetu zipo wapi tuzike
3. Waliohusiks wote na mauaji makubwa ya Kihistoris wawajibishwe.
4. Uchaguzi mkuu urudiwe
5. Katiba mpya
 
Unazungumziaje ya 2030 angali 2025 hakukuwa na uchaguzi bali mauaji makubwa yaliwaweka madarakani wauaji ..

Kwasasa yafuatayo yanapaswa kuzungumzwa.

1. Nani alitoa Order ya shoot to kill
2. Maiti za Ndugu zetu zipo wapi tuzike
3. Waliohusiks wote na mauaji makubwa ya Kihistoris wawajibishwe.
4. Uchaguzi mkuu urudiwe
5. Katiba mpya

Hawakusoma alama za nyakati walikuwa wanapima ubora wa mgombea kwa magazeti yanayoandika matango pori kila siku.

2015 CCM haikuwa na mgombea mwingine anayemkaribia Magufuli kuwa na sifa za kugombea.

Wengine walikuwa wahuni maarufu tu
 
It is true hii mijadala ya 2030 inaletwa kuwasahaulisha watu na ya October 2019.
 
Kumbuka hata Membe, Pinda, na Bilal walikuwa na kambi zenye nguvu sana kuliko Magufuli. Magufuli hakuwa na kambi ya kisiasa ndani ya chama, yeye alikuwa anajulikana kama mtendaji tu mkorofi mtaani. Kwenye siasa za CCM, kutokuwa na kambi huwa ni tiketi ya kukatwa mapema sana. Kupenya kwake kulikuja kama compromise candidate baada ya kambi kubwa za kina Lowassa na Membe kuchinjana na kuleta hatari ya kukivunja chama.
Hawakuwa na kambi na hawakuwa na ushawishi nje ya vijiji wanavyotoka.
 
Unazungumziaje ya 2030 angali 2025 hakukuwa na uchaguzi bali mauaji makubwa yaliwaweka madarakani wauaji ..

Kwasasa yafuatayo yanapaswa kuzungumzwa.

1. Nani alitoa Order ya shoot to kill
2. Maiti za Ndugu zetu zipo wapi tuzike
3. Waliohusiks wote na mauaji makubwa ya Kihistoris wawajibishwe.
4. Uchaguzi mkuu urudiwe
5. Katiba mpya
Mkuu Otoro, Otorong'ong'o , acha utopia, be pragmatic, hilo la 4 can't happen kwasababu kwa mujibu wa katiba yetu, mgombea wa urais akiishatangazwa na Tume kuwa ameshinda, tangazo hilo ndio lina wind of uchaguzi, ni final and conclusive, no one can do anything!.

P
 
Hawakusoma alama za nyakati walikuwa wanapima ubora wa mgombea kwa magazeti yanayoandika matango pori kila siku.

2015 CCM haikuwa na mgombea mwingine anayemkaribia Magufuli kuwa na sifa za kugombea.

Wengine walikuwa wahuni maarufu tu
Naaam kulikua kuna wahuni wengi sana kwa sasa bado CCM ina hazina kubwa mfano Mtaka yule ni mtu kabisa Lyimo
 
CCM kwa sasa haina hazina ya viongozi wanaofaa kuongoza nchi.

2005 hadi 2015 CCM ilikuwa na watu wengi sana wenye sifa za kuongoza nchi kwa sasa haina.

Huu ni ukweli mchungu ambao wengi hawajauchukulia serious hata mzee wangu Pascal Mayalla atakuwa anapata ugumu kuwaona wanaofaa.

Kwa sasa ccm ina kusanyiko kubwa la watu wasiofaa kuliko wanaofaa unaweza kukosa watu watano wenye kuheshimika beyond their constituencies.
 
Kwa nilivyoiona bongo kuanzia vyama vya siasa, majeshi na wote wanaojifanya wanaweza kuongoza sisi kama taifa ni loosers, kama mahakama, bunge na serikali bado ni bando moja tutaendelea kusafa mpaka hapo malaika aongoze ila hakuna mtu wa kuongoza hii nchi.

Kwa ushaidi wa hilo mbali na maumivu yote na matatizo yote yaliyopo leo 2026 mtu anazungumza kuhusu uchaguzi kweli? Yaani kweli uchaguzi leo 2026? Mumeachivu nini? Mbaya sana
 
Back
Top Bottom