NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 12,104
- 27,671
Be clearUanaume ni jinsia na ipo ndani ya mwili ,, huwezi kujifunza uanaume nje ya mwili.
Be clearUanaume ni jinsia na ipo ndani ya mwili ,, huwezi kujifunza uanaume nje ya mwili.
Elimu haina mwishoMafundisho ya aje mdau? Quran na Biblia zimejitosheleza kiroho…
Elimu dunia, vyuo tumesoma poa kabisa sasa, hata makongamano yana impact gani?
Ni kwa uchache sana, muhusika mwenyewe ndio anaamua.Pamoja na yote father figure influence na mother figure influence ina mchango mkubwa sana kwenye kushape tabia za mtoto