Mawazo yangu juu ya wanaume

Mawazo yangu juu ya wanaume

Kusema kuzaliwa navyo kwa 100% sio kweli mengine anahitaji father figure influence au jamii ya watu wakiume walio mzunguka ila kupata social masculinity na male boundaries 🤔
Kwani hawa ambao hawana male identity hawana jamii au wanaume walio wazunguka?
Ni utashi wa muhusika mwenyewe tu, hakuhitaji father figure influence,

Vipi na hawa waliopoteza ukubwani, ikiwa walilelewa under father figure influence hapo mwanzoni??
 
Yaani upate hali ya ubaba kwa kuwasikiliza wale jamaa??
Watu wanaoongea ujinga kiasi kile?
 
Kwani hawa ambao hawana male identity hawana jamii au wanaume walio wazunguka?
Ni utashi wa muhusika mwenyewe tu, hakuhitaji father figure influence,

Vipi na hawa waliopoteza ukubwani, ikiwa walilelewa under father figure influence hapo mwanzoni??
Ni kwel sio guaranteed kwa father figure influence, na hii inatokana na utashi wa mtu mwenyewe .

Ila haiondoi, father figure influence kuwa na matokeo chanya, kushape tabia za kiume hasa zile za kijamii.

Umesema kuwa hawana jamii za kiume zilizo wazunguka , yeah zipo ndio kama hawa kina nabii sasa na watu wengine tu.
 
Kitu kikishakua chini ya utashi wa muhusika, hakuna matokeo chanya juu ya mtu mwingine.

Ukiona hivyo inatokea km nyongeza tyu,

Sasa km jamii hizo ni km hao manabii, mbona watu wanapinga humu ndani kwa nguvu zote? Au shida ni gani?
 
Ngoja nikupe mfano hai mmoja , mimi naishi na binti ya yangu toka kachanga , ukimsoma tabia zake ni kama za kiume hata shule kuna wavulana naletewa malalamiko anawapiga , mbishi na mjeuri na yeye mda wote anataka kushindana tu, naona kabisa kakosa ile mother figure influence japo anaishi na watu wengine tu wa kike🤔
 
Hiyo mikutano ni ujinga tu master!! Haiwezi kabisa kuwa na matokeo unayawaza au unayotamani!!

They are more destructive! Wanajenga jamii mbaya ya wanaume!

Ogopa mwanaume kuwa defensive
 
Ngoja nikupe mfano hai mmoja , mimi naishi na binti ya yangu toka kachanga , ukimsoma tabia zake ni kama za kiume hata shule kuna wavulana naletewa malalamiko anawapiga , mbishi na mjeuri na yeye mda wote anataka kushindana tu, naona kabisa kakosa ile mother figure influence japo anaishi na watu wengine tu wa kike🤔
Ni yeye binafsi ndo kaamua awe hivyo, wala sio wewe ndio sababu, na umesha sema kuna watu wengine wa kike anaishi nao, why asiige hao wanawake, km unahisi kaiga uanaume wako??

Na mie nakupa mfano, kuna binti alilelewa km ambavyo huyo wako analelewa, na hana hizo tabia za kiume.

Ni muhusika mwenyewe anaamua anataka awaje.
 
Pamoja na yote father figure influence na mother figure influence ina mchango mkubwa sana kwenye kushape tabia za mtoto
 
Back
Top Bottom