Kwenye mapenzi hayo ni awaida tu. waweza ua na hela nyingi ukamtokea msichana akakupotezea na hela zako kisha akaenda kwa kabwela kujipendekeza, Nimepata ujasiri huu baada ya kusongwa na mawazo nikaona bora nishee na members labda wanaweza nisaidia kwa njia yoyote ile.hivi iwezekanaje huyu maid amtose boss wake hadi afukuzwe kazi afu we akupe kiulainiiiiiii.bado haijaniingia akilini..... nahis km kastory umekatunga na km ni cha kweli sidhan km ungepata ujasiri wa kukaleta hapa coz atakuwa ashakuambukiza.subiri miez mitatu ukacomfirm tu
Ahsante ndugu.Pole kaka, sometimes s*t happens. Kuna watu washawahi kupasukiwa na condoms na majanga kibao. Usife moyo kwanza kapime ujue ur current status. Pia ingawa mie sio dr ila wasemavyo wenyewe men wana less chance ya kuambukizwa than wanawake kwa maumbile yao. Naamini hujaambukizwa ila this is a wake up call for you. Sali/swali sana... talk to your God and ask for his forgiveness and protection, that in turn itakupunguzia mawazo ukijikabidhi maisha yako kwa Mungu. Ingawa limeanza vibaya but pengine jambo hili laweza kukufanya uwe the best person you can be forever. Remember no one will leave this world alive... Jipe moyo u r okay
Ahsante mdau. Leo ndo nimepanga nimpeleke pahala mbali na nyumbani afu nimfungukie juu ya haya maswahibu. Sielewi atayapokeaje, Sijui nitaanzaje anzaje. Daah! What if kesho nikipima nikikuta nimeambukizwa, sijui ndio tutaachana, sijui tutaishi vipi! maswali mengii kichwani.JF Ni kichaka cha wanafiki Tu,utadhani most ya waliochangia hawaishi mitaani kama kila mmoja anatumia kinga,mbona graph inapanda daily?
Mleta Uzi nakushauri upige Moyo konde usiwe na stress saana maana haisaidii kikubwa nenda kapime after 3months lkn hakikisha unamlinda huyo uliyenae kwa sasa.
nakuomba please!Ahsante mdau. Leo ndo nimepanga nimpeleke pahala mbali na nyumbani afu nimfungukie juu ya haya maswahibu. Sielewi atayapokeaje, Sijui nitaanzaje anzaje. Daah! What if kesho nikipima nikikuta nimeambukizwa, sijui ndio tutaachana, sijui tutaishi vipi! maswali mengii kichwani.
Ahsante mdau. Leo ndo nimepanga nimpeleke pahala mbali na nyumbani afu nimfungukie juu ya haya maswahibu. Sielewi atayapokeaje, Sijui nitaanzaje anzaje. Daah! What if kesho nikipima nikikuta nimeambukizwa, sijui ndio tutaachana, sijui tutaishi vipi! maswali mengii kichwani.
jamaa alivyoongea nikajua labda ni coordinator wa CTC. lakini post exposure prophylaxis hutolewa hata kwa waliobakwa, waliopasukiwa condom na watu wote walio kwenye risk ya kupata ngoma. wenye risk kubwa walikuwa wanapewa dawa tatu na ndogo dawa mbiliKwa taarifa yako huduma za hospitali na kitabibu hazibagui. Yeyote ambaye anahisi amepata accidental exposure ana haki ya kupata hii huduma. Acha kupotosha, kama mnahukumu watu huko unakosali basi hospitali huduna hazibagui.
Inaingia akili umnyime mtu PEP halafu akishapata HIV usiulize uliipata wapi na uanze tu kumpa huduma na ART? Ni akili matope ama? Kila liwezekanalo kupunguza uwezekano wa mtu mmoja kupata hiv linafanyika, kwa upendo na bila kuhukumi. Spare us your 'holier than thou' attitude.
kwa taarifa yako huduma za hospitali na kitabibu hazibagui. Yeyote ambaye anahisi amepata accidental exposure ana haki ya kupata hii huduma. Acha kupotosha, kama mnahukumu watu huko unakosali basi hospitali huduna hazibagui.
Inaingia akili umnyime mtu pep halafu akishapata hiv usiulize uliipata wapi na uanze tu kumpa huduma na art? Ni akili matope ama? Kila liwezekanalo kupunguza uwezekano wa mtu mmoja kupata hiv linafanyika, kwa upendo na bila kuhukumi. Spare us your 'holier than thou' attitude.
jamaa alivyoongea nikajua labda ni coordinator wa ctc. Lakini post exposure prophylaxis hutolewa hata kwa waliobakwa, waliopasukiwa condom na watu wote walio kwenye risk ya kupata ngoma. Wenye risk kubwa walikuwa wanapewa dawa tatu na ndogo dawa mbili
jamaa alivyoongea nikajua labda ni coordinator wa CTC. lakini post exposure prophylaxis hutolewa hata kwa waliobakwa, waliopasukiwa condom na watu wote walio kwenye risk ya kupata ngoma. wenye risk kubwa walikuwa wanapewa dawa tatu na ndogo dawa mbili
Umeuza mechi kwa utamu wa dakika 1?