Lateni JF-Expert Member Joined Jun 11, 2012 Posts 676 Reaction score 335 Jan 11, 2014 #21 Naamini kama ungekua hujanywa mipombe usingekua na ujasiri wa kufanya ulichokifanya, pombe ! pombe ! jamani pombe hizzz
Naamini kama ungekua hujanywa mipombe usingekua na ujasiri wa kufanya ulichokifanya, pombe ! pombe ! jamani pombe hizzz
Lateni JF-Expert Member Joined Jun 11, 2012 Posts 676 Reaction score 335 Jan 11, 2014 #22 Na sasa kama una mke au girlfriend usifanye nae mapenzi bila kinga hadi hapo utakapopima na kujua status ya afya yako, usijeua watu wasio na hatia kwa ujinga wako.
Na sasa kama una mke au girlfriend usifanye nae mapenzi bila kinga hadi hapo utakapopima na kujua status ya afya yako, usijeua watu wasio na hatia kwa ujinga wako.
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,901 Jan 11, 2014 #23 Ulikunywa pombe ya aina na kiasi gani?
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,583 Jan 11, 2014 #25 Utafiti wangu unaonesha hao barmads kwa asilimia kubwa wapo salama kuliko wadada wa mtaani na wake za watu. Hii research inapaswa utulize akili ndio utajuwa wadada wa mtaani ni malaya kuliko hao wa bar.
Utafiti wangu unaonesha hao barmads kwa asilimia kubwa wapo salama kuliko wadada wa mtaani na wake za watu. Hii research inapaswa utulize akili ndio utajuwa wadada wa mtaani ni malaya kuliko hao wa bar.
Kingmairo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 4,936 Reaction score 3,548 Jan 11, 2014 #26 Wahi kalipie kaplot cha kaburi aisee, usije waachia watu gharama. Hizi plot zimepanda bei sana siku hizi.
Wahi kalipie kaplot cha kaburi aisee, usije waachia watu gharama. Hizi plot zimepanda bei sana siku hizi.
Passion Lady JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 8,694 Reaction score 4,646 Jan 11, 2014 #27 ​ndio ushafarikishwa hivyo!!poleeee
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,584 Jan 11, 2014 #28 Evelyn Salt said: Duh! watu kwa kujilipua, sipati picha ni wangapi wamemuonea huruma kama ulivomuonea wewe.....pole!!!! Click to expand... daaaaah!
Evelyn Salt said: Duh! watu kwa kujilipua, sipati picha ni wangapi wamemuonea huruma kama ulivomuonea wewe.....pole!!!! Click to expand... daaaaah!
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,584 Jan 11, 2014 #29 kwanza jina lako tu linaendana na hayo yote usemayo
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,976 Jan 11, 2014 #30 Asubuhi wahi hospitali hakikisha unajieleza ili upewe dawa kwa ajili ya kukulinda usipate ukimwi, kama haujapata bado. Hongera mfadhili
Asubuhi wahi hospitali hakikisha unajieleza ili upewe dawa kwa ajili ya kukulinda usipate ukimwi, kama haujapata bado. Hongera mfadhili
Nicas Mtei JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 11,556 Reaction score 7,106 Jan 11, 2014 #31 Iloweke kwenye maji ya moto sana. Wadudu wote watakufa
Acha Ushamba JF-Expert Member Joined Jan 10, 2014 Posts 202 Reaction score 78 Jan 11, 2014 #32 Evelyn Salt said: Duh! watu kwa kujilipua, sipati picha ni wangapi wamemuonea huruma kama ulivomuonea wewe.....pole!!!! Click to expand... Duuuuu umeua!
Evelyn Salt said: Duh! watu kwa kujilipua, sipati picha ni wangapi wamemuonea huruma kama ulivomuonea wewe.....pole!!!! Click to expand... Duuuuu umeua!
Mkoroshokigoli JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 14,593 Reaction score 5,582 Jan 11, 2014 #33 'Ujana ni nusu ya uwendawazimu'.
Mkoroshokigoli JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 14,593 Reaction score 5,582 Jan 11, 2014 #34 mimi49 said: Acha kujitia hofu,nenda kapime upate uhakika! Click to expand... kwa hali aliyonayo hatothubutu kupima,its very difficult
mimi49 said: Acha kujitia hofu,nenda kapime upate uhakika! Click to expand... kwa hali aliyonayo hatothubutu kupima,its very difficult
Mkoroshokigoli JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 14,593 Reaction score 5,582 Jan 11, 2014 #35 maringeni said: Ulikunywa pombe ya aina na kiasi gani? Click to expand... hehehe,sidhan kama kuna utaratibu wa kujua kiasi cha pombe alichokunywa mtu kwa hapa Tanzania
maringeni said: Ulikunywa pombe ya aina na kiasi gani? Click to expand... hehehe,sidhan kama kuna utaratibu wa kujua kiasi cha pombe alichokunywa mtu kwa hapa Tanzania
Mkoroshokigoli JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 14,593 Reaction score 5,582 Jan 11, 2014 #36 maringeni said: Ulikunywa pombe ya aina na kiasi gani? Click to expand... hehehe,sidhan kama kuna utaratibu wa kujua kiasi cha pombe alichokunywa mtu kwa hapa Tanzania.......
maringeni said: Ulikunywa pombe ya aina na kiasi gani? Click to expand... hehehe,sidhan kama kuna utaratibu wa kujua kiasi cha pombe alichokunywa mtu kwa hapa Tanzania.......
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,583 Jan 11, 2014 #37 JF kipimo cha wanafki.
charty JF-Expert Member Joined Oct 28, 2013 Posts 7,460 Reaction score 6,000 Jan 11, 2014 #38 dah wanaume wengine mna njaa ya ngono kama nn lol,,omba tu rehema kwa mungu usiwe umeupata!au umeambukizwa UTI,Kaswende kisonono!
dah wanaume wengine mna njaa ya ngono kama nn lol,,omba tu rehema kwa mungu usiwe umeupata!au umeambukizwa UTI,Kaswende kisonono!
ankol JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 2,628 Reaction score 4,971 Jan 11, 2014 Thread starter #39 kobun said: Pole sana mkuu. Click to expand... Ahsante ndugu. Daah ujana huu!
ankol JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 2,628 Reaction score 4,971 Jan 11, 2014 Thread starter #40 Matola said: Utafiti wangu unaonesha hao barmads kwa asilimia kubwa wapo salama kuliko wadada wa mtaani na wake za watu. Hii research inapaswa utulize akili ndio utajuwa wadada wa mtaani ni malaya kuliko hao wa bar. Click to expand... Eti eeh? Daah nikisave hii pombe basi.
Matola said: Utafiti wangu unaonesha hao barmads kwa asilimia kubwa wapo salama kuliko wadada wa mtaani na wake za watu. Hii research inapaswa utulize akili ndio utajuwa wadada wa mtaani ni malaya kuliko hao wa bar. Click to expand... Eti eeh? Daah nikisave hii pombe basi.