Upendo utakapopungua kuna mengi yatabadilika,life is dynamic.
Udini! udini! udini!
Bhana ninyi hamjapendana kiukweli, na mkipendana hasa suala hilo ni dogo kuliko chembe ya poda! Afu nawashangaa sana, kumbe nyote ni wakiristo!
...
Na pozi zote hizo halafu ukamkute anavongo hata chatu anaweza kuingia bila ya kugusa mashavu! Teh! teh! teh!
...
Kwa mawazo yangu tu, mwanaume habadili dini or dhehebu kwa sababu ya mwanamke!
Soma makala ya Mwakasege inahusu urafiki,uchumba hadi ndoa.itakusaidia sana kufanya maamuzi sahihi.MAMBO YAMPASAYO KIJANA KUYAJUA KABLA HAJAINGIA KWENYE NDOA.hii makala ipo kwenye website yake,just tafuta kwenye google 'mwakasege' itakuletea.
Kama umependa kutoka moyoni mwako usikilize moyo.Huyo ndio ubavu wako kwahiyo baba wala mama hapo hawana cha kufanya ukichukulia kuwa unaoa na ukumbuke kuwa ndoa ni sakramenti kaka so listen to your heart.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Dini ni kitu kikubwa......mapigano yanatokea nchi nyingi sababu ya dini......huyu mschana nimempenda na nnaweza fanya anything ili niwe nae
Khaa! Mbona mfano wako sio relevance kwa hii topic?
Ivi unadhani wale wanapigana kwa sababu ya wapenzi wao kubadili dini?
...
Badili dhehebu umuoe basi!
...
Afu nipe mantiki ya kutuwekea huu uzi!
Follow your heart....