Mawazo ya watu

huyu jamaa akiingia hata chumbani kwako habebi kisu wala bunduki na kwa hiari utampa kabang au akupigie kelele unataka kumkata
 
huyu jamaa akiingia hata chumbani kwako habebi kisu wala bunduki na kwa hiari utampa kabang au akupigie kelele unataka kumkata
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
huyu jamaa akiingia hata chumbani kwako habebi kisu wala bunduki na kwa hiari utampa kabang au akupigie kelele unataka kumkata
hongera sana inaonekana hata mtu akikushikia kisu cha mkate unatoa min kabaang
 
Uso wa jamaa be like 'asee!gundu gani hili hapa njiani!! '
 
Ni hatari,,,,,,,,,,,,kuna siku nipo Msamvu Morogoro nimekaa nasubiri basi la Dar, nilipokaa akaja kukaa albino. Kila mtu macho kwangu na wengine wakawa wananikonyeza kuwa niondoke kuwa kesi ile.
 
Ila ni uelewa tu mdogo, mimi nina rafiki yangu albino nilisoma nae primary na secondary tulikaa bweni moja, jamaa ni smart sana kichwani, mcheshi ukiwa nae haina kuboeka, kwa sasa nackia yuko ulaya, kifupi ni watu wakawaida sana na wazuri ukiwajua ila hawapendi attention za kiboya!
 
Ni hofu tu aliyojijengea akilini mwake mbona tunakaa nao tunakula nao kazi tunafanya nao bila shaka huyo mwenye bike ni mtu wa shinyanga ama mbeya
 
Kwani unadhani kuna mtu anasema ni watu wabaya basi...?? Watu wanaogopa kesi tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…