HahahaaaaTeh teh.. ni bora kugongwa na v8 ya ya waziri kuliko bajaj
Ni bora kuwa Guest JF kuliko kuwa member FBBora kuwa mfungwa ulaya kuliko mfanyakazi bongo....
Usijilaumu wewe kwa hali mbaya ulokua nayo mlaumu mama yako kwani wakati anatongozwa hakuwaona wakina baresa,manji,mengi .........
MP.
Hahahahaaa hii kali..Hahahaaaa
Kugongwa na baiskeli mjini ni aibu bora kugongwa na mkokoteni kijijini
Lol katavi ..Bora kuwa mfungwa ulaya kuliko mfanyakazi bongo....
50+ wanafaidika na nini?"Bora mume/mwanamume wangu angekuwa mlevi"
"Bora ningekuwa na miaka 50+"
Nimekutana na mawazo mengi ya wanajamii wa tz hasa wale waliokata tamaa ktk mambo fulani. Pata picha kama Mungu angesikia vilio vyao. Kuna hii hapa: Bora ningezaliwa Mbwa ulaya kuliko kuwa mtu bongo.. we umekutana na zipi?