Mawazo katika kufanikiwa kwenye biashara ya Tofali haswa kwenye Miji inayokuwa

Chance ndoto

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
3,004
7,118
Habari wana Jamvi.

Leo nimejifikiria kuhusu Biashara ya tofali naamini kila mtu kwa nafasi yake ameshiriki katika biashara hii. Leo ningependa tuelezane mambo kadha wa kadha kuhusu biashara hii, jinsi yakufanikiwa zaidi na zaidi, uendeshaji na maono yako kwa mfanyabiashara baada ya miaka kadhaa mbele.

Ninayeandika hili ni mmoja wa Wawekezaji katika biashara hii. Bado najifunza.

Karibuni kwa maoni na ushauri.
 
Boss tofali zinahitajika sana kama upo katika field njoo utengenezewe mashine inayoweza kuzalisha mpaka tofali sita kwa wakati mmoja

Ukiweza kwa siku kuzalusha tofali elfu kumi hapo umeshinda boss
Karibu 0774150519
 
Mkuu hapa ulitaka kusema elfu moja au ndo umemaanisha hiyo tofali elfu kumi kwa siku?????
 
Mkuu hapa ulitaka kusema elfu moja au ndo umemaanisha hiyo tofali elfu kumi kwa siku?????
Ndugu tofali sita kwa mara moja tuzungumzie tofali elfu moja? Hizo hata mashine ndogo ya tofali moja au mbili inazalisha vizuri tu

Hiyo mashine ni kwa mtu giant kwenye industry ya tofali
 
Back
Top Bottom