pamoja na kwamba ccm imeamua kutosa mawaziri 7 lakini ukwei ni kwamba mawaziri wote ni mizigo kwa wananchi wakiongozwa na mzigo namba 1 mtoto wa mkukima aka liwalo na liwe.
Ni mawaziri wawili tu ambao mtu anaweza kusimama na kujenga hoja kwamba wanachapa kazi. Hawa ni magufuli na mwakyembe.
Nashauri rais wetu jk futa baraza lote la mawaziri na uunde baraza dogo lenye tija ili utupunguzie mzigo wananchi wako.
sisi wengine rais wetu ni slaa. pole.Pamoja Na kwamba CCM imeamua kutosa mawaziri 7 lakini ukwei ni kwamba mawaziri wote ni mizigo kwa wananchi wakiongozwa Na mzigo namba 1 Mtoto Wa mkukima aka liwalo Na liwe.
Ni mawaziri wawili tu ambao mtu anaweza kusimama Na kujenga hoja kwamba wanachapa kazi. Hawa ni Magufuli Na mwakyembe.
Nashauri rais wetu JK futa baraza lote la mawaziri Na uunde baraza dogo lenye tija ili utupunguzie mzigo wananchi wako.
sisi wengine rais wetu ni slaa. pole.
Naona hii thread yangu imechakachuliwa!
Imekuwaje Mkuu?
sisi wengine rais wetu ni slaa. pole.
naunga mkono hojaPamoja Na kwamba CCM imeamua kutosa mawaziri 7 lakini ukwei ni kwamba mawaziri wote ni mizigo kwa wananchi wakiongozwa Na mzigo namba 1 Mtoto Wa mkukima aka liwalo Na liwe.
Ni mawaziri wawili tu ambao mtu anaweza kusimama Na kujenga hoja kwamba wanachapa kazi. Hawa ni Magufuli Na mwakyembe.
Nashauri rais wetu JK futa baraza lote la mawaziri Na uunde baraza dogo lenye tija ili utupunguzie mzigo wananchi wako.
sisi wengine rais wetu ni slaa. pole.
mawaziri wengine. hata majina yao ayasikiki. cjui jk anasumbirinn? kupitisha fagio la chuma.
Ndio umepatia kabisa!!!! Yule mama yako anyemuita mumeHivi slaa yule ndo yule babu mzinzi au!???
Hivi hiyo 'mizigo' ipo sokoni au kwenye gari, kama ipo juu ya gari nani kaipandisha?
mawaziri wengine. hata majina yao ayasikiki. cjui jk anasumbirinn? kupitisha fagio la chuma.
Ndio maana tunamwomba mwenye mizigo-JK awaondoaHivi hiyo 'mizigo' ipo sokoni au kwenye gari, kama ipo juu ya gari nani kaipandisha?
Hivi slaa yule ndo yule babu mzinzi au!???