Mawaziri wote ni mizigo... isipokuwa wawili

blueray

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
2,217
423
Pamoja Na kwamba CCM imeamua kutosa mawaziri 7 lakini ukwei ni kwamba mawaziri wote ni mizigo kwa wananchi wakiongozwa Na mzigo namba 1 Mtoto Wa mkukima aka liwalo Na liwe.

Ni mawaziri wawili tu ambao mtu anaweza kusimama Na kujenga hoja kwamba wanachapa kazi. Hawa ni Magufuli Na mwakyembe.

Nashauri rais wetu JK futa baraza lote la mawaziri Na uunde baraza dogo lenye tija ili utupunguzie mzigo wananchi wako.
 
Chanzo ni mh bkangi lugora wa mwibara
pamoja na kwamba ccm imeamua kutosa mawaziri 7 lakini ukwei ni kwamba mawaziri wote ni mizigo kwa wananchi wakiongozwa na mzigo namba 1 mtoto wa mkukima aka liwalo na liwe.

Ni mawaziri wawili tu ambao mtu anaweza kusimama na kujenga hoja kwamba wanachapa kazi. Hawa ni magufuli na mwakyembe.

Nashauri rais wetu jk futa baraza lote la mawaziri na uunde baraza dogo lenye tija ili utupunguzie mzigo wananchi wako.
 
Pamoja Na kwamba CCM imeamua kutosa mawaziri 7 lakini ukwei ni kwamba mawaziri wote ni mizigo kwa wananchi wakiongozwa Na mzigo namba 1 Mtoto Wa mkukima aka liwalo Na liwe.

Ni mawaziri wawili tu ambao mtu anaweza kusimama Na kujenga hoja kwamba wanachapa kazi. Hawa ni Magufuli Na mwakyembe.

Nashauri rais wetu JK futa baraza lote la mawaziri Na uunde baraza dogo lenye tija ili utupunguzie mzigo wananchi wako.
sisi wengine rais wetu ni slaa. pole.
 
Imekuwaje Mkuu?

Mkuu hii thread imeanza Jana usiku Na kulikuwa na wachangiaji wengine zaidi lakini Leo naiona vipande!
Nakuomba Mkuu invisible angalia suala hili kwa undani Na siku moja niliweka thread ikayeyuka!
 
Pamoja Na kwamba CCM imeamua kutosa mawaziri 7 lakini ukwei ni kwamba mawaziri wote ni mizigo kwa wananchi wakiongozwa Na mzigo namba 1 Mtoto Wa mkukima aka liwalo Na liwe.

Ni mawaziri wawili tu ambao mtu anaweza kusimama Na kujenga hoja kwamba wanachapa kazi. Hawa ni Magufuli Na mwakyembe.

Nashauri rais wetu JK futa baraza lote la mawaziri Na uunde baraza dogo lenye tija ili utupunguzie mzigo wananchi wako.
naunga mkono hoja
 
mawaziri wengine. hata majina yao ayasikiki. cjui jk anasumbirinn? kupitisha fagio la chuma.
 
Hivi hiyo 'mizigo' ipo sokoni au kwenye gari, kama ipo juu ya gari nani kaipandisha?
 
Muulize Kinana Na Nape watakueleza maana ya mizigo.

Wanaobeba viongozi mizigo ni sisi wanananchi Na kodi zetu
 
mawaziri wengine. hata majina yao ayasikiki. cjui jk anasumbirinn? kupitisha fagio la chuma.

Kweli kabisa hawa mawaziri ni mizigo tu Na wananchi tunazidi kuwa masikini na kukosa huduma muhimu kwa matumizi Yao makubwa yasiyo Na tija
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom