Mawaziri wakalia kuti kavu Mzumbe University

fatakifataki

Senior Member
Nov 2, 2009
134
60
Ni jambo la kushangaza kusikia ama kushuhudia baraza la mawaziri la serikal ya wana funzi mzumbe university kuingia katika timbwilitimbwili la kukalia kuti kavu hapo majuzi.
Habari za kutoeleweka kutoka kwa wanakijiji hao limebaini kuwa na mashaka dhidi ya maamuzi ya mkuu wa serikali hiyo bwana david makulu kwani inadaiwa hakueleza chanzo cha kulivunja baraza hilo la mawaziri la muso, na hivyo kusababisha hali ya wasiwasi kwa wanacho ambao anawaongoza chouni hapo kidemokrasia.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa raisi wa muso kuvunja ama kusimamisha baraza la mawaziri wa serikali ya wanafunci muso.
Tunahoji integrity ya waliompitisha kwenye screening comitee hata avunje baraza bila kustate reasons................
 
hata mimi inanishangaza tatizo la viongozi wetu wasiojua demokrasia ndo hilo
 
nilifikiri habari ina umuhimu kumbe.................................

utafikiri yale magazeti ya udaku, waziri apigwa ngwala ndani unaambiwa mwimbaji nyota waziri apigwa na mlevi

ujinga mtupu
 
Ni jambo la kushangaza kusikia ama kushuhudia baraza la mawaziri la serikal ya wana funzi mzumbe university kuingia katika timbwilitimbwili la kukalia kuti kavu hapo majuzi.
Habari za kutoeleweka kutoka kwa wanakijiji hao limebaini kuwa na mashaka dhidi ya maamuzi ya mkuu wa serikali hiyo bwana david makulu kwani inadaiwa hakueleza chanzo cha kulivunja baraza hilo la mawaziri la muso, na hivyo kusababisha hali ya wasiwasi kwa wanacho ambao anawaongoza chouni hapo kidemokrasia.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa raisi wa muso kuvunja ama kusimamisha baraza la mawaziri wa serikali ya wanafunci muso.
Tunahoji integrity ya waliompitisha kwenye screening comitee hata avunje baraza bila kustate reasons................
Kweli we FATAKI.............
 
Back
Top Bottom