Mh. Simbachawene amekalia kuti kavu

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,692
Wana bodi Mh. Simbachawene amekalia kuti kavu kwa sababu dulu za kisiasa zinaonyesha mizani inaelemea kwake mheshimiwa huyu toka kijijji cha Pwaga, kata ya lumuma jimbo la uchaguzi la Kibakwe, wilaya ya Mpwapwa mkoa wa Dodoma. Kwa taaruma Mh. Simbachawene ni mwanasheria aliyesoma chuo kikuu huria cha Tanzania.

Kwa uteuzi huu wa kuwa mbunge Pro. Palamagamba Mwaluko Kabudi toka kijiji cha Ndebwe kata ya Mnvumi, jimbo la uchaguzi la Mtera walaya ya Chamwino mkoa wa Dodoma. Mh. Pro. Palamagamba Kabudi ni mwanasheria anayefundisha sheria chuo kikuu cha Dar-es-sallam.

Kwa kuwa nafasi za uwaziri hugawanywa kufuata na mambo mengine pia uwiano kimkoa huangaliwa ndio maana bunge lililopita baada ya kutenguliwa Mh. Gregory Teu mbunge wa Mpwapwa Dodoma aliteuliwa Mh. Abdallah Mngamia mbunge toka jimbo la Kondoa Kusini (sasa hivi ni jimbo la Chemba) wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma.

Sasa kama uteuzi huu wa wabunge wawili yaani Mh. Abdallah Majura Bulembo na Prof, Mpalamagamba Mwaluko Kabudi utalenga pia kulifumua kidogo baraza la mawaziri basi ili nafasi ya Dodoma isipotee mnafikiri ataondolewa nani kati ya Mh Simbachawene na Mh. Antony Peter Mavunde? Wa pili huyu ni naibu waziri tu./
Kweli Prof. Kabudi awe naibu waziri kuchukua nafasi ya Mavunde mwana bodi inakuingia akilini hiyo?
Kwa kuwa waziri Simbachawene alikuwa mwanasheria japokuwa uanasheria wa hali ya chini na uteuzi wa Mphalamagamba Kabudi ni mwanasheria ndipo tunahisi Mh. Simbachawene amakalia kutikavu , tusubiri tuone.
 
Ah kumbe ni hisia zako tu! We kaa nazo, hatupo hapa kujadili hisia zako! Kajadiri na m...wako mambo ya hisia!
 
Mh Magu hatabiriki. Endelea kuota
 
Hiyo ya kufuata uwiano wa mikoa haipo awamu hii ya tano, hebu cheki wakuu wa mikoa 10 ni kabila moja na mheshimiwa
 
Haina shida dodoma kuwa na mawaziri 3.....maana hata Chigoma wapo 3.....Prof Ndali: Dr Mipango na Eng Chiza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom