Mawaziri wadaiwa kuwa katika Payroll ya Misri

Nim blackmail nani mkuu? Kuna mambo yakuhuzunisha sana yanaendelea ndani ya nchi yetu, kuna wakati hata namwonea huruma Sana Rais Magufuli.
Kipilimba hana jicho la tatu, kwa hiyo hatupo salama kabisa
Mkuu kwa hiyo kumbe Dg wetu uwezo wake ni mdogo

Tupe nondo zaidi mkuu

Mi nakukubali sana
 
Nim blackmail nani mkuu? Kuna mambo yakuhuzunisha sana yanaendelea ndani ya nchi yetu, kuna wakati hata namwonea huruma Sana Rais Magufuli.
Kipilimba hana jicho la tatu, kwa hiyo hatupo salama kabisa
Unaandika nusu nusu, hueleweki mkuu.
 
Umeandika mambo mazito kwa lugha rahisi.
Taarifa za kijasusi zinadai kuwa, baadhi ya mawaziri wa Tanzania, Uganda na Kenya wapo kwenye Payroll ya siri ya Misri.

Misri mara kadhaa imekuwa ikiapa kuwa itayalinda maji ya mto Nile hata kwa nguvu za kijeshi.

Kutumia nguvu za kijeshi ni gharama kubwa mno kuliko kufanya, kutumia ujasusi.

Ziwa Victoria ndo humwaga maji mto Nile, bila Ziwa Victoria hakuna mto Nile, na bila mto Nile hakuna Misri.

Mto Nile ni mungu wa Misri, Misri inautegemea mto Nile 100%.

Ukitaka kuiteketeza Misri, haribu mto Nile....

ITAENDELEA...
 
Nim blackmail nani mkuu? Kuna mambo yakuhuzunisha sana yanaendelea ndani ya nchi yetu, kuna wakati hata namwonea huruma Sana Rais Magufuli.
Kipilimba hana jicho la tatu, kwa hiyo hatupo salama kabisa

Ukikumbuka slogan ya JF inavyosema.. wewe unatutia aibu na uoga wako sijui niseme ubahiri wako wa habari unayodai unayo. umekaa kama hauna lolote bali unaandika tu ndoto zako.
 
Wabongo tunapenda story za kizushi. Maji ya ziwa victoria yameshafikishwa tabora now. Huko shinyanga wameyatumia kwa miaka kadhaa now.
Screenshot_20190703-220517_Opera~2.jpg
 
Ukikumbuka slogan ya JF inavyosema.. wewe unatutia aibu na uoga wako sijui niseme ubahiri wako wa habari unayodai unayo. umekaa kama hauna lolote bali unaandika tu ndoto zako.
Ishu siyo ndoto, unajua fika kabisa kuwa mods hawawezi kuhimili huo mziki, watafuta topic
 
Back
Top Bottom