Mawaziri wadaiwa kuwa katika Payroll ya Misri

Mawaziri wadaiwa kuwa katika Payroll ya Misri

Tanzania nchi ya ajabu yaani iko tayari kuwa na rasilimali lakini isizitumie ili watu wa nchi nyingine wafaidike na ndio maana tunarudi nyuma mara ya kwenda mbele
 
Ina maana wakitumbuliwa, kutoteuliwa tena au kufariki dunia huondolewa kwenye payroll?

Wanawezaji kuwa kwenye payroll bila vyombo vya ulinzi na usalama kujua tena katika nchi zote tatu?
 
Kwa mkoa wa Tabora idadi ya watu watakao faidika ni 300,000. Pia vijiji amabyo bomba litapita navyo vitafaidika, vile vile Mikoa ya Dododma na Singida nayo itafaidika pia.

Hizo story mkuu hazipo Kama zinavyoandikwa wewe Naona huwajui viongozi wa CCM
 
Kama tuna vyanzo vingi vya maji, ni kwa nini tufanye kitu ambacho kina madhara kwa uhai wa binadamu wenzetu?

Kwamba maadam mimi sitadhurika niamue kuharibu ili wafe?

Kwamba sisi tu wauaji kiasi hicho?

Vipi kama sie ndo tungekuwa tunaishi huko halafu wengine waamue kutumaliza kwa kutukatia chanzo pekee cha maji?

Kama ndo chanzo pekee kwetu fine, hatuna namna ya kujinusuru. Lakini kama kuna maji mengine unachimba shimo la choo unakutana nayo hatutakuwa sahihi.

Ndo ninaendelea kujua kwamba hata wanaomlaumu anayelaumiwa, ni kwa sababu hawajapata fursa ya kuwa alipo ila kama wakipata inaonesha ni wabaya zaidi ya anayelaumiwa.

Mungu ni mwema sana.
 
Mkuu nikutoe hofu, nina rafiki yangu mkubwa mzee wa miaka 85,ni agent mstaafu wa MOSSAD, huwa ananiambia mambo mengi mno hadi nabaki natetemeka hadi ya Tanzania, siwezi kuyaweka hapa hata iweje, ni mu Israel anayeishi Australia Kwa sasa, mwaka jana alinipeleka nyumbani Nazareth Israel ,usidhani najiandikia tu.
Unaongea na watu wenye matatizo ya akili wewe..na wewe unakuja hapa kuongea vile vile
 
Unaongea na watu wenye matatizo ya akili wewe..na wewe unakuja hapa kuongea vile vile
Kweli wewe hamnazo kabisa kichwani, una uhakika kuwa huyo mzee ni mgonjwa wa akili?
Watu dizaini yako ni wa kuonea huruma Sana, na hapa nimeandika 10% tu ya niliyoambiwa, nikimaliza yote, humu hapatakalika.
Hivi unalijua vizuri shirika la kijasusi la Israel, Mossad???
Kwa Taarifa yako hata Trump aliwekwa na Mossad, mmebakia kuwadandia Warusi tu.
Ndo maana Trump aliutangaza Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel kitu ambacho marais wote wa Marekani walikuwa wakiogopa.
Ijue Dunia utoe tongotongo kwenye kwenye ubongo wako.
Una Habari kuwa Magufuli hatofanikiwa mradi wake wa Bwawa la Stigler's gorge?
Baki hivyo hivyo gizani, Pole sana.
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Hii pia ni MOSSAD?
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Hii pia ni MOSSAD?
Akili za kuambiwa changanya na zako mkuu.
BBC: Bunge la Ujerumani lakubaliana kupinga mradi wa Stigler's gorge nchini Tanzania ili kulinda mazingira.
Unajua kilichozaliwa baada ya hapo?
Yaani paka anatunishiana misuli na Chui.
Stay tuned...
 
Mkuu nikutoe hofu, nina rafiki yangu mkubwa mzee wa miaka 85,ni agent mstaafu wa MOSSAD, huwa ananiambia mambo mengi mno hadi nabaki natetemeka hadi ya Tanzania, siwezi kuyaweka hapa hata iweje, ni mu Israel anayeishi Australia Kwa sasa, mwaka jana alinipeleka nyumbani Nazareth Israel ,usidhani najiandikia tu.

Yaandike tu tuyafahamu.. sioni faida ya kukaa bayo labda kama unatumia hizo info kama kweli unazo kuwa blackmail ufaidike na hayo kifedha.
 
Kwahiyo kuna sababu kwanini kanda ya ziwa la victoria hakuna miradi mikubwa ya maji watu bado wanatumia maji yaliyotuwama kwenye mabonde na mashamba....
 
Uzuri niko shinyanga nimebahatika kutumia maji kutoka KASHWASA ambao ni ule kutoka mradi wa ziwa victoria, mradi huu umekuwa ni mkombozi sana kwa watu wa shinyanga, kabla ya hapo yalikuwa majanga....hongera kwa Mkapa na Lowasa kwa maamuzi magumu
 
Yaandike tu tuyafahamu.. sioni faida ya kukaa bayo labda kama unatumia hizo info kama kweli unazo kuwa blackmail ufaidike na hayo kifedha.
Nim blackmail nani mkuu? Kuna mambo yakuhuzunisha sana yanaendelea ndani ya nchi yetu, kuna wakati hata namwonea huruma Sana Rais Magufuli.
Kipilimba hana jicho la tatu, kwa hiyo hatupo salama kabisa
 
Uzuri niko shinyanga nimebahatika kutumia maji kutoka KASHWASA ambao ni ule kutoka mradi wa ziwa victoria, mradi huu umekuwa ni mkombozi sana kwa watu wa shinyanga, kabla ya hapo yalikuwa majanga....hongera kwa Mkapa na Lowasa kwa maamuzi magumu
Hahahahah, Nashukuru umebaini kuwa bila maamuzi magumu msingepata maji
 
Back
Top Bottom