Mawaziri wadaiwa kuwa katika Payroll ya Misri

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,930
Reaction score
13,335
Taarifa za kijasusi zinadai kuwa, baadhi ya mawaziri wa Tanzania, Uganda na Kenya wapo kwenye Payroll ya siri ya Misri.

Misri mara kadhaa imekuwa ikiapa kuwa itayalinda maji ya mto Nile hata kwa nguvu za kijeshi.

Kutumia nguvu za kijeshi ni gharama kubwa mno kuliko kufanya, kutumia ujasusi.

Ziwa Victoria ndo humwaga maji mto Nile, bila Ziwa Victoria hakuna mto Nile, na bila mto Nile hakuna Misri.

Mto Nile ni mungu wa Misri, Misri inautegemea mto Nile 100%.

Ukitaka kuiteketeza Misri, haribu mto Nile....

ITAENDELEA...
 
Mmh unataka kusema baadhi ya vyama vya siasa e.Africa vinapiga mpunga kupitia mkakati huu ?
 
You have made some serious allegations, I hope you can substantiate them without twitching.
He may not prove the payroll allegations, buy frankly, basing on international agreements and laws, Egypt take the lion share in this matter. I heard one time that, Tanzania has no say on harvesting water flowing into Nile just because ofthese laws. Hope you can share a thing or two.
 
Tuhuma nzito Sana hizi mkuu!
Mkuu nikutoe hofu, nina rafiki yangu mkubwa mzee wa miaka 85,ni agent mstaafu wa MOSSAD, huwa ananiambia mambo mengi mno hadi nabaki natetemeka hadi ya Tanzania, siwezi kuyaweka hapa hata iweje, ni mu Israel anayeishi Australia Kwa sasa, mwaka jana alinipeleka nyumbani Nazareth Israel ,usidhani najiandikia tu.
 
Niliwahi kuisikia hii stori hapa hapa JF, ila sasa mbona tunavuta hayo maji kutoka ziwani?
 
Waache wavute Sie tuendelee kuvuta umaskin tu. kamba ndo inaamua mbuzi ale kiasi gani maamuzi ya mbuzi kula au lahh ni tumbo lake
 
Mkuu tuanze kukuogopa sada hafi.mossad duuu
Mkuu nikutoe hofu, nina rafiki yangu mkubwa mzee wa miaka 85,ni agent mstaafu wa MOSSAD, huwa ananiambia mambo mengi mno hadi nabaki natetemeka hadi ya Tanzania, siwezi kuyaweka hapa hata iweje, ni mu Israel anayeishi Australia Kwa sasa, mwaka jana alinipeleka nyumbani Nazareth Israel ,usidhani najiandikia tu.
 
Inawezekana mkuu

hivi ukitoa Kahama na shinyanga kuna mkoa tena unaotumia maji ya ziwa Victoria?
 
Mkuu nikutoe hofu, nina rafiki yangu mkubwa mzee wa miaka 85,ni agent mstaafu wa MOSSAD, huwa ananiambia mambo mengi mno hadi nabaki natetemeka hadi ya Tanzania, siwezi kuyaweka hapa hata iweje, ni mu Israel anayeishi Australia Kwa sasa, mwaka jana alinipeleka nyumbani Nazareth Israel ,usidhani najiandikia tu.
Wawe kwenye pay roll au wasiwe yote heri. Mimi ni mtanzania lakini singetaka tuwafanyie kauzibe maelfu ya watu wanaotegemea huu mto kama njia yao ya kuishi. Kuanzia kwenye nchi zetu isiwe sababu ya kuwafanyia roho mbaya.
 
Hawa wamisri kwa nini tusilitumie ziwa Victoria kuwafanya watupe mpunga kama alivyofanya ghadaf kuwatumia wahamiaji haramu kupiga mpunga wa mazungu
 
Back
Top Bottom