Mawaziri wa Vijana Botswana (Pichani)

Mawaziri wa Vijana Botswana (Pichani)

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,103
Wafahamu mawaziri Vijana nchini Botswana. Bado tunatafuta mchawi?
images (23).jpeg
images (24).jpeg
images (25).jpeg
download (16).jpeg
 
Attachments

  • DaBzi-WkAA6tcZ.jpg
    DaBzi-WkAA6tcZ.jpg
    28.4 KB · Views: 23
  • images (26).jpeg
    images (26).jpeg
    8.1 KB · Views: 15
  • download (17).jpeg
    download (17).jpeg
    7.7 KB · Views: 25
Botswana ni moja ya nchi zenye wanawake wenye misambwanda duniani.
Nimefungua uzi nikitarajia hilo, bahati mbaya sijakuta hivyo.
Wenzetu wanaangalia kichwani amebeba nini mkuu.

Kuendekeza shape sijui na rangi kama taifa ndiyo kumetufikisha hapa tulipo hatujui tunaenda wapi hata aliyeshika usukani haelewi uelekeo yupo bora liende.
 
Sisi Tanzania kama taifa kuendekeza shepu wala hakujatufikisha hapa, ila kujuana kwingi ndiyo kumetufikisha hapa tulipo.
Serikalini watu wanapeana vyeo kwa kujuana na siyo uwezo wao kwenye nafasi wanazopewa
 
Botswana ni moja ya nchi zenye wanawake wenye misambwanda duniani.
Nimefungua uzi nikitarajia hilo, bahati mbaya sijakuta hivyo.
Msambwanda ni kigezo cha kuongoza wizara?
 
Wenzetu wanaangalia kichwani amebeba nini mkuu.

Kuendekeza shape sijui na rangi kama taifa ndiyo kumetufikisha hapa tulipo hatujui tunaenda wapi hata aliyeshika usukani haelewi uelekeo yupo bora liende.
Hii nayo kali so mambo yako kama yalivyo sababu ya kuendekeza shape na rangi?? Zipi na gani hizo?
 
Vijana wa tanzania wanakitu gani? Kijana wa miaka 26 hajawahi kupata hata milion 10 ya kufanya kazi ndio atuongoze? Upuuzi tu huo na kuongeza wezi wa raslimali za nchi
Mkuu nadhani hapa kwetu kwa mtazamo wangu watu wanaongeza tuu miaka ila wengi wao akili inakuwa bado na ndio maana 30yrs anajiita mtoto mdogo sijajua shida ni nini labda mfumo au malezi. Hiyo 10m umeenda mbali akiweza tuu kukaa geto akanunua sabufa anaona tayari.
 
Back
Top Bottom