Mawaziri vivuli wa CHADEMA wana uwezo mdogo!

Mawaziri vivuli wa CHADEMA wana uwezo mdogo!

Kwanza wanateuana kwa kuangalia yupi mropokaji na si yupi kichwani yupo sawa!!
Hawa wasaka tonge nishiida kiukweli.
 
Eti msigwa na sugu wangepewa uwaziri, hii ni sanaa at all of its splendors!
Dharau yako kwa hao ni kutokana na wao kuwa upinzani lakini wana uwezo mkubwa sana kifikra zaid yako na wabunge wengi sana wakiwemo wa upinzani na wa ccm pia.
 
Dharau yako kwa hao ni kutokana na wao kuwa upinzani lakini wana uwezo mkubwa sana kifikra zaid yako na wabunge wengi sana wakiwemo wa upinzani na wa ccm pia.
Acha utani wewe. Utawalinganisha hao na lulu zilizoko CCM?
 
Okei. Ngoja nikufafanulie, BARAZA KIVULI LA MAWAZIRI LA CHADEMA/ ukawa, halina wenye sifa za kuwa mawaziri kamili wa kuunda serikali imara, hapo je??
Unaelewa nini maana ya waziri kivuli na unayajua majukumu yake?
 
Ukishakuwa mwanachadema bila kujitoa ufahamu hutadumu nao!ona jinsi huyu alivyojibu[emoji13] !sishangai....uweledi wako mdogo sana!hivi kwa kuwa Sugu ni mwimbaji bongo fleva basi ndo unampa uwazir kivuli habari?unaweza mchagua waziri kivuli kwa kigezo kama hiki!kifupi chama chenu kimekosa watu wenyeuweledi wa kuchambua mambo kiakili au kama wapo hawapewi nafasi ya kutosha!
Ila kupewa NAPI ni sawa kwa sababu yeye ni mwimba kwaya.
 
Post zako huwa ni zisizo na mchango wowote kitaifa zaid ya umbea,mipasho,nk tumia mda wako kutafakar mambo ya msingi sio chuki dhidi ya wapinzani unalishwa maneno machafu na wewe unayabeba bila kutumia kichwa chako,maendeleo hayaji kwa kiwachukia wapinzani na kuwananga kila siku bali kwa msikamano na jitihada za ziada ili kujikwamua kama taifa

Tukirud kwenye hoja yako mbona kuna viongozi wengi sana wameteuliwa awamu hii wakiwemo wakurugenzi,makatibu tawala nk ambao hawana sifa za kutosha kushika nyadhifa hizo? Mbona hujaongelea hilo kama ndio hoja yako kuu? Acha utumwa wa fikra kuamin kuwa mpinzani ni adui yako.

Alichosema mleta mda ni ukweli usipingika. Uelewa mdogo wa mambo unasababisha hata maamuzi wanayotoa yanakua sio sahihi. Na si mawaziri vivuli hata madiwani wao upeo mdogo sana. Hapa Arusha wamenyang'anya watu waliojenga maduka stendi ndogo wakawapa ndugu zao na makada wa Chadema. Sababu wanazotoa utasikia ooh wameshakula kiasi cha kutosha. Wengine walikua mafundi charahani, wengine hata darasa la saba hawajafika. Sasa unatarajia nini. Hiki ni kitu cha hatari sana.
 
Wewe umethibitisha kuwa wamenyang'anya hao watu na waluo pewa ni ndugu za walio nyang'anya au unatuletea maneno ya vijiwen ? Maana unaweza kuwa unasikia tetesi za muongo mmoja na wewe ukaanza kusimulia kama umeshuhudia .
 
Mkuu kama hoja zako ni hizo,Una maoni gani kuhusu yule mgombea wa urais aliyesema kuwa gadaffi alikuwa rais wa kwait?...alikuwa na jazba?....hana uelewa?....alipendelewa?..
Nafikiri utasema alisahau au alipitiwa tu...ahhaaaaaa!
 
Kwa hiyo ushauri niliyowapa sio kitu?..hayo mengine na wewe yaongelee sina muda wa kuzungumza yote kwa wakati mmoja.Jifunze kuvumilia kukosolewa,usitoe matusi.
Because it is impossible to convince someone stupid that he is stupid,
I wont say you are stupid, you just have bad luck when it comes to thinking.
 
Post zako huwa ni zisizo na mchango wowote kitaifa zaid ya umbea,mipasho,nk tumia mda wako kutafakar mambo ya msingi sio chuki dhidi ya wapinzani unalishwa maneno machafu na wewe unayabeba bila kutumia kichwa chako,maendeleo hayaji kwa kiwachukia wapinzani na kuwananga kila siku bali kwa msikamano na jitihada za ziada ili kujikwamua kama taifa

Tukirud kwenye hoja yako mbona kuna viongozi wengi sana wameteuliwa awamu hii wakiwemo wakurugenzi,makatibu tawala nk ambao hawana sifa za kutosha kushika nyadhifa hizo? Mbona hujaongelea hilo kama ndio hoja yako kuu? Acha utumwa wa fikra kuamin kuwa mpinzani ni adui yako.
Mimi nikadhani unajibu hoja, Kumbe na kiongozi umeteleza kuliko mleta mada!!!.Aidha kakukera hivyo ukamjibu tu Majibu mepesi ama kumchokoza.

Yeye kasema 1.Wale mawaziri vivuli wameteuliwa kwa kupeana vyeo kiupendeleo ilhali hawana sifa. 2.Kutokana na kutokuwa na weledi wa wizara zao, wameshindwa kuleta hoja mbadala za kuboresha hoja za serikali.

Ulichotakiwa kufanya, ni kujibu hizi hoja mbili. Aidha kwa kukanusha madai hayo ama kukubali na kutoa sababu.

Baada ya kujibu hoja zake, ungehitimisha na maelezo yako haya uliyoleta, ukianza na paragraph ya mwisho ikiwa ni mfano kwamba, mbona hata watendaji wa serikali walioteuliwa hawana weledi wa hizo ofisi ( na wameweza Kufanya kazi).
Lazima useme hawa watanzania wameweza Kufanya kazi ili u justify kuteuliwa kwa mawaziri vivuli wasio na weledi kwa matumaini kuwa with time na wao wataweza. Ukisema watendaji walioteuliwa hawana weledi wa ofisi zao na wanashindwa ku deliver, unaiua hoja yako. Mtu atahoji, Kumbe unajua mtu asiye mweledi akiteuliwa anashindwa kudeliver, sasa kwanini unatetea hawa mawaziri kuteuliwa.
 
Back
Top Bottom