Mawaziri vivuli wa CHADEMA wana uwezo mdogo!

Kwa kuwa Nape anajua kupiga gitaa na maneno yenye mipasho ndo kigezo cha kuwa Waziri naomba nijibu kwanza halafu tuendelee
Hujakosea kuwa mwanachadema....ukishakuwa mwanachadena sharti ujitoe ufahamu....unaona?pitia CV ya Nape....elimu yake then uje tena na ufahamu kamili
 
Tunaweza kumlaumu Mbowe kumbe anashindwa kutoa mchango kwa kukosa wasaidizi wenye ueledi bungeni.Kazi kubwa ya mawaziri vivuli ni kuja na mpango mbadala kwa lengo la kuboresha mpango wa serikali,hadi sasa hakuna hata kivuli mmoja aliyeweza kuleta/kuandaa mpango mbadala.Hili huenda limesababishwa na;
1.Jazba
2.Kutokuwa na elimu na uzoefu wa sehemu/sekta husika mfano....Mnyika hana ueledi na masuala ya nishati na miamba,Msigwa hana ueledi na mambo ya diplomasia na kimataifa,Silinde hajui masuala ya fedha na uchumi,Sugu hana ajualo kwenye tasnia ya habari.
3.Upendeleo,kupachikana wadhifa bila kujali uwezo.

Kambi ya upinza inaweza kuwa bora endapo watazingatia yafuatayo;
1.Mbowe na wenzake wajenge utamaduni wa kujisomea,si vitabu vya hadithi...bali majarida ya uchumi,maliasili ili kupata taarifa muhimu zitakazowawezesha kujenga hoja...na sio kuja na "hear say"...bungeni.
2.Waachane kutumia pesa kwenye propaganda bali waajiri wataalamu kwenye sekta kama Uchumi,Elimu,Afya,Kilimo...kwa dhumuni la kutafsiri,kuchambua na kuwapa uelewa wabunge.Mfano kama Mbowe angekuwa na mshauri wa kiuchumi asingeleta bungeni hoja ya deni la taifa kwa namna alivyohoji ni dhahiri hana uelewa nalo....mtaalamu angemuelekeza ni jambo gani la kuuliza kuhusu deni la taifa.

Nawasilisha.
Well said..sasa kule vyeo si wanapeana bila kufuata weledi hawajui kuwa muda unaenda na kuna muda wanahitaji kuwa na watu imara ambao wanashindwa kuwatumia leo..wakija kukumbuka wanakuta muda ushaenda na watu wale waliokua imara jana wameshachoka na kupoteza morali
 
Njaa kitu kibaya sana Nasikia posho imekatwa kutoka buku 7 hadi buku 2 na nyinyi mmeamua mjiongeze kwa kuwa na ids nyingi.ona umeanzisha uzi unajijibu mwenyewe vipi mkuu mbona Magu anawaacha nyinyi wafia chama anaenda kuchukua Clouds.
 
Ni kweli huenda ikawa Mbowe amekosa washauri wazuri kama ilivyo kwa mkuu wetu wa kaya ambaye maamuzi yote huyafanya peke yake huku kwa 95% akionekana kwamba anakurupuka. Mfano kauli ya kutaka kuibadili noti ya sh. 10,000 eti kwa sababu kuna watu wameficha pesa majumbani ilidhihirisha wazi kwamba mkuu wetu wa kaya (Mtukufu) amekosa/hana washauri wa masuala ya kiuchumi.
Huo ndo uchumi wenyewe. Acha kudanganya watu hakuna chochote: nachokijua. Angekusanya seigniorage tax kama angeprint mpya na hiyo no mbinu ya kiuchumi. Siku nyingine kama hujui kwa kimya
 
Post zako huwa ni za kipuuzi zisizo na mchhango wowote kitaifa zaid ya umbea,mipasho,nk tumia mda wako kutafakar mambo ya msingi sio chuki dhidi ya wapinzani unalishwa maneno machafu na wewe unayabeba bila kutumia kichwa chako,maendeleo hayaji kwa kiwachukia wapinzani na kuwananga kila siku bali kwa msikamano na jitihada za ziada ili kujikwamua kama taifa

Tukirud kwenye hoja yako mbona kuna viongozi wengi sana wameteuliwa awamu hii wakiwemo wakurugenzi,makatibu tawala nk ambao hawana sifa za kutosha kushika nyadhifa hizo? Mbona hujaongelea hilo kama ndio hoja yako kuu? Acha utumwa wa fikra kuamin kuwa mpinzani ni adui yako.
Basi weka zako zisizo na mipasho....
 
Sasa kama kiongoz wa chama elimu chenga unategemea nn apo
 
Tunaweza kumlaumu Mbowe kumbe anashindwa kutoa mchango kwa kukosa wasaidizi wenye ueledi bungeni.Kazi kubwa ya mawaziri vivuli ni kuja na mpango mbadala kwa lengo la kuboresha mpango wa serikali,hadi sasa hakuna hata kivuli mmoja aliyeweza kuleta/kuandaa mpango mbadala.Hili huenda limesababishwa na;
1.Jazba
2.Kutokuwa na elimu na uzoefu wa sehemu/sekta husika mfano....Mnyika hana ueledi na masuala ya nishati na miamba,Msigwa hana ueledi na mambo ya diplomasia na kimataifa,Silinde hajui masuala ya fedha na uchumi,Sugu hana ajualo kwenye tasnia ya habari.
3.Upendeleo,kupachikana wadhifa bila kujali uwezo.

Kambi ya upinza inaweza kuwa bora endapo watazingatia yafuatayo;
1.Mbowe na wenzake wajenge utamaduni wa kujisomea,si vitabu vya hadithi...bali majarida ya uchumi,maliasili ili kupata taarifa muhimu zitakazowawezesha kujenga hoja...na sio kuja na "hear say"...bungeni.
2.Waachane kutumia pesa kwenye propaganda bali waajiri wataalamu kwenye sekta kama Uchumi,Elimu,Afya,Kilimo...kwa dhumuni la kutafsiri,kuchambua na kuwapa uelewa wabunge.Mfano kama Mbowe angekuwa na mshauri wa kiuchumi asingeleta bungeni hoja ya deni la taifa kwa namna alivyohoji ni dhahiri hana uelewa nalo....mtaalamu angemuelekeza ni jambo gani la kuuliza kuhusu deni la taifa.

Nawasilisha.
Tena ukae kimya wewe! Siku zote mbaazi ikipasuka husingizia jua. Yaani mmeshashindwa halafu mnawasingizia Chadema?shame on you all! Ushauri wa upinzani serikali hua haichukui zaidi ya kufanyia editing?
 
Bajeti mliyoipitisha bungeni iko wapi. Miezi mitatu sasa hela hazionekani po pote. Kuna mchwa wanakula? Chadema mliwafukuza bungeni kwa kumtumia kiboko chenu ns ili budget isiyotekelezeka ipite. Leo tuko wapi 🙂 🙂 🙂 🙂
Leo unawasema wabunge vifuli. Kama wa ndani hasikilizwi wa upinzani je atasikilizwa?
Usisahau kuwa bunge la sasa si la bajeti ila la kupitisha sheria itakayofanya maisha yawe magumu zaidi! 🙂 🙂 na watu wanawalaumu ccm kwa ndiyooo yao.
 
Post zako huwa ni zisizo na mchango wowote kitaifa zaid ya umbea,mipasho,nk tumia mda wako kutafakar mambo ya msingi sio chuki dhidi ya wapinzani unalishwa maneno machafu na wewe unayabeba bila kutumia kichwa chako,maendeleo hayaji kwa kiwachukia wapinzani na kuwananga kila siku bali kwa msikamano na jitihada za ziada ili kujikwamua kama taifa

Tukirud kwenye hoja yako mbona kuna viongozi wengi sana wameteuliwa awamu hii wakiwemo wakurugenzi,makatibu tawala nk ambao hawana sifa za kutosha kushika nyadhifa hizo? Mbona hujaongelea hilo kama ndio hoja yako kuu? Acha utumwa wa fikra kuamin kuwa mpinzani ni adui yako.
Tuwekee baraza la mawaziri hapa la ukawa tulione, baraza la maana sio la walevi. Weka hapa!!
 
Kkimondoa: nawe unarudia tatizo la mipasho (aya ya pili)!

Nilivyomwelewa mtoa mada, mawaziri vivuli, hasa bunge hili, walichokiandaa kama bajeti mbadala ilikuwa ni mipasho tu na lawama kwa serikali. Kwa ufupi zilikuwa bajeti za kugombanisha serikali na wananchi.

Anavyoasa mtoa mada ni kwamba michango ya wabunge wa upinzani bungeni, iwe na lengo, pamoja na kukosoa, la kutoa mweleko mbadala wa kuendeleza Taifa hili na siyo kulalama na kulaumu kukicha.
 
Tuwekee baraza la mawaziri hapa la ukawa tulione, baraza la maana sio la walevi. Weka hapa!!
Mawaziri gani la mawaziri la ukawa unao wataka ndugu maana ukawa haijaunda baraza la mawaziri kwa sababu haipo madarakan
 
Katika watu wenye kushukuru uwepo wa Chadema wewe ni nambari one. Kwani kwa uwepo wao unafanya wewe uishi kwa riziki upatayo. Lazima kila ukilala unafikiria kesho niandike nini kuhusu Chadema, MBOWE au Lowassa.
Pole sana, ila ungejikita hata kuanzisha bustani ya mchicha ungepata kipato kizuri na heshima kuliko hayo ufanyayo sasa hivi

Ngoja akishafikisha umri wa kustaafu akili ndio itakuja!
 
Post zako huwa ni zisizo na mchango wowote kitaifa zaid ya umbea,mipasho,nk tumia mda wako kutafakar mambo ya msingi sio chuki dhidi ya wapinzani unalishwa maneno machafu na wewe unayabeba bila kutumia kichwa chako,maendeleo hayaji kwa kiwachukia wapinzani na kuwananga kila siku bali kwa msikamano na jitihada za ziada ili kujikwamua kama taifa

Tukirud kwenye hoja yako mbona kuna viongozi wengi sana wameteuliwa awamu hii wakiwemo wakurugenzi,makatibu tawala nk ambao hawana sifa za kutosha kushika nyadhifa hizo? Mbona hujaongelea hilo kama ndio hoja yako kuu? Acha utumwa wa fikra kuamin kuwa mpinzani ni adui yako.
Mbona unatoka pot,unajua kinachowaangusha wengi wanapenda vitu lakini hawajui kuvitetea na ata kama wanavyopenda vinakosea hawataki kutafakari waweze pata suluhisho ni sawa na wewe
 
Sasa ndio umeandika nini? Nadhani nawewe wapaswa kujumlishwa na mwenzio hapo juu maana fikra zenu zinalingana kabisa.
 
Back
Top Bottom